kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 646
Ule wimbo wa avicii kama sikosei au david gueta unaitwa brotherNani anaujua ule wimbo kwenye tangazo au maneno wanayotamka nidaidieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule wimbo wa avicii kama sikosei au david gueta unaitwa brotherNani anaujua ule wimbo kwenye tangazo au maneno wanayotamka nidaidieni
Avicii na unaitwa brotherHuu wimbo uliimbwa na nani?
Umerudiwa na Wasanii wengi zaidi ya 10 niliandika mtu wa kwanza kuimba huko mwanzoni.
Kuna Link niliweka nadhani ukisoma itakusaidia zaidi.Hayo ndiyo yalinifanya niandike haya:
Ulivyoelezea ni as if watoto wana-influence maamuzi ya familia! Hili jambo siyo kweli kabisa! Kwani mzazi hawezi kumwambia mtoto kwamba hawezi kukubali kila jambo ambalo mtoto anaomba? Ilmradi mtoto aambiwe kwanini jambo haliwezekani, hakuna shida. Kama unaendesha familia kwa staili ya kukubali kila jambo ambalo mtoto analitaka, ni hatari sana kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako.
Sasa sijui nini hapo sijaelewa! Mimi ninapinga hilo la kusema watoto wana ushawishi mkubwa kwenye familia. Ni dhana uliyoiweka katika mtazamo mrahisi sana, bila kuzingatia mambo kama uchumi wa familia, aina ya malezi na makuzi n.k. Otherwise, prove hicho unachokisema kwa kuleta hapa utafiti unaonyesha watoto wana ushawishi mkubwa kwenye manunuzi ya soft drinks kwenye familia.
Ndugu, mtu yoyote wa Masoko anaielewa nguvu ya watoto kwenye manunuzi huu ni utafiti kwa America, Japan, Ujerumani na China.Hayo ndiyo yalinifanya niandike haya:
Ulivyoelezea ni as if watoto wana-influence maamuzi ya familia! Hili jambo siyo kweli kabisa! Kwani mzazi hawezi kumwambia mtoto kwamba hawezi kukubali kila jambo ambalo mtoto anaomba? Ilmradi mtoto aambiwe kwanini jambo haliwezekani, hakuna shida. Kama unaendesha familia kwa staili ya kukubali kila jambo ambalo mtoto analitaka, ni hatari sana kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako.
Sasa sijui nini hapo sijaelewa! Mimi ninapinga hilo la kusema watoto wana ushawishi mkubwa kwenye familia. Ni dhana uliyoiweka katika mtazamo mrahisi sana, bila kuzingatia mambo kama uchumi wa familia, aina ya malezi na makuzi n.k. Otherwise, prove hicho unachokisema kwa kuleta hapa utafiti unaonyesha watoto wana ushawishi mkubwa kwenye manunuzi ya soft drinks kwenye familia.
Kaka, ndiyo maana nimekwambia unalitazama hilo jambo kwa jicho la kiurahisi sana. Hivi tamaduni za kitanzania katika malezi na makuzi zinafanana na hizo nchi ulizozitaja? Huwezi kufanya generalisation kwa kutumia utafiti kutoka nchi nyingine zenye tamaduni tofauti kabisa. Katika familia za kitanzania, mtoto hawezi kuwa na influence katika maamuzi ya nini kinunuliwe. Naweza kukuelewa kidogo ukisema pengine familia za wale waishio kama wazungu (ingawa sipo confident katika hili). Lakini watanzania waishio kama watanzania, bado sikubaliani nawe.Ndugu, mtu yoyote wa Masoko anaielewa nguvu ya watoto kwenye manunuzi huu ni utafiti kwa America, Japan, Ujerumani na China.
Marketing to Children
Hahahaha we jamaa sisi hatuna kawaida ya kuweka hadharani tafiti zetu ingawa makampuni yanafanya Na Nakuhakikishia Nguvu ya watoto katika manunuzi hata hapa ni kubwa sana.Kaka, ndiyo maana nimekwambia unalitazama hilo jambo kwa jicho la kiurahisi sana. Hivi tamaduni za kitanzania katika malezi na makuzi zinafanana na hizo nchi ulizozitaja? Huwezi kufanya generalisation kwa kutumia utafiti kutoka nchi nyingine zenye tamaduni tofauti kabisa. Katika familia za kitanzania, mtoto hawezi kuwa na influence katika maamuzi ya nini kinunuliwe. Naweza kukuelewa kidogo ukisema pengine familia za wale waishio kama wazungu (ingawa sipo confident katika hili). Lakini watanzania waishio kama watanzania, bado sikubaliani nawe.
Kwanza unapaswa kujua kuwa Cocacola ni bidhaa ya wamarekani, popote duniani inapo zalishwa inapaswa kufuata mbinu za kushinda soko km anavyo elekeza mwenyewe mwenye bidhaa yake ambae ni mmarekani, hiyo ni kusema matangazo yao lazima ya ni ya ubora wa hali ya juu, tena mengi huwa yana andaliwa hukohuko kwao na lazima yarushwe sana katika media ili kushinda soko, hiyo ndio sera ya mwenye bidhaa yake, na ukishindwa kufanya hivyo unanyang'anya ruhusa ya kuzalisha bidhaa yaoNajiuliza coca cola wanatumia bajeti ya kiasi gani kwa marangazo ya TV...?
watu wao wa matangazo strategies zao ni nini?
Hili tangazo la sasa naliona ni kila baada ya dakika chache tu...
je wanafanikiwa?
kuna policy yeyote wanaoifuata...
niko very curious...
Asante wajinaHey brother, there’s an endless road to re-discover
Hey sister, know the water’s sweet but blood is thicker
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
Hey brother, do you still believe in one another?
Hey sister, do you still believe in love, I wonder?
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
What if I’m far from home?
Oh, brother I will hear you call
What if I lose it all?
Oh, sister I will help you out
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
Hey brother, there’s an endless road to re-discover
Hey sister, do you still believe in love, I wonder?
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
What if I’m far from home?
Oh, brother I will hear you call
What if I lose it all?
Oh, sister I will help you out!
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
Mi mwenyewe nalipenda sanaHakuna tangazo linanivutia kama hilo la Cocacola.
Limekaa poa sana.
Pepsi nao ni wamarekani, nadhani kutokea Atlanta. Unajua hilo?Kwanza unapaswa kujua kuwa Cocacola ni bidhaa ya wamarekani, popote duniani inapo zalishwa inapaswa kufuata mbinu za kushinda soko km anavyo elekeza mwenyewe mwenye bidhaa yake ambae ni mmarekani, hiyo ni kusema matangazo yao lazima ya ni ya ubora wa hali ya juu, tena mengi huwa yana andaliwa hukohuko kwao na lazima yarushwe sana katika media ili kushinda soko, hiyo ndio sera ya mwenye bidhaa yake, na ukishindwa kufanya hivyo unanyang'anya ruhusa ya kuzalisha bidhaa yao
Nisaidieni zamani tulikuwa tunasema kirefu cha COCA ni come one, come all, sasa COLA yenyewe ni nini? Sikumbuki, mwenye kukumbuka tafadhali msaada!Pepsi nao ni wamarekani, nadhani kutokea Atlanta. Unajua hilo?
Tatizo si coke bali jinsi tangazo lilivyo huo mchezo hata wakiufanya wakati wanakunywa maji ni hatari pia, tatizo ni kimiminika mkuu.Kwanini uwape watoto Soda hio?? Watoto yao Juice, hayo mavinywaji kunywa wewe mzee. Ndio maana afya zetu zinayumba miaka hii, mtoto ana miaka mitano alishakunywa coca kama lita 20 hivi?? Why??
Vipi kuhusu Vodacom? hawa ndio nawashangaa zaidi, maana wanawekeza kwenye matangazo halafu gharama za vifurushi wanapandisha, watu wanawakimbia kwa sababu ya gharama zao na sio kutokujitangaza, maana sijui kama kuna mtumiaji wa simu asiyejua kuna vodacom hapa tzCocacola siku zote wanatangaza sana
kabla hata ya bakhresa kuja
na hakuna anaejua nani ana lead kwa mauzo
Asante wajina
Vipi kuhusu Vodacom? hawa ndio nawashangaa zaidi, maana wanawekeza kwenye matangazo halafu gharama za vifurushi wanapandisha, watu wanawakimbia kwa sababu ya gharama zao na sio kutokujitangaza, maana sijui kama kuna mtumiaji wa simu asiyejua kuna vodacom hapa tz