Matani WANAUME V/S WANAWAKE

Matani WANAUME V/S WANAWAKE

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Huu uzi maalum kwa kupigana matani ..wanawake kwenda kwa wanaume na wanaume kwenda kwa wanawake

1.WANAWAKE NI WATU PEKEE WANAOVUA HADI NYWELE WAKIENDA KUOGA[emoji2] [emoji2] [emoji2]

2.WANAWAKE WANAPENDA HAKI SAWA LAKINI KULIPA BILI WANAKUWA WAGUMU HAOOO
 
Mwisho wake si mzuri huu uzi....

Wanaume....povu la kweli haliko mbali maana wasichana wana loose screw kichwani....
 
Wanawake ni watu pekee wanaonyoa nyusi na kuchora zao[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaume hivi karibuni tutawavalisha madella sio kwa mipasho hii lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
najua matani ya wanawake wengi kwa mwanaume ni Kibamia.. in JF
 
Back
Top Bottom