nikiwa bombii nyumbii std three kuna jamaa yangu akiitwa Aidan alipenda sana hili tani la pua kubwa kama KIUTULI. wale wa kunyumba wanaelewa kiutuli ni nini. mkia wa kuku akichinjwa halafu akanyonyolewa mkiani pale pana kauvimbe flani ukikatafuna kana mafuta kimtindo basi ki NGONI kinaitwa kiutuli.
Ndo mana kwenu ni dry mpaka water mellons zenu zinaitwa, drymellons!
ati we ni mjanja mpaka ulivyotumwa doughnuts ukarudi bila kununua ukasema ati zile zimearibika ziko na tobo katikati..!Gari lenu limezeeka mpaka likifika kwenye kilima linatoa mkwaju ndo lipande!lol
eti we unasura mbaya mpaka ulivyoenda kwenye zoo nyani alikupa ndizi...!nikiwa bombii nyumbii std three kuna jamaa yangu akiitwa Aidan alipenda sana hili tani la pua kubwa kama KIUTULI. wale wa kunyumba wanaelewa kiutuli ni nini. mkia wa kuku akichinjwa halafu akanyonyolewa mkiani pale pana kauvimbe flani ukikatafuna kana mafuta kimtindo basi ki NGONI kinaitwa kiutuli.
aaah..! Sa si bora sisi tulikua na hio picha ya kuku nyie kwenu mnakunywa uji kwa stori za Sukari...!Mmesota kwenu mpaka mnakulaga ugali na picha ya kuku!
aunty yako anastink mpaka watu wa manispaa waliamua kum-burry alive kuprevent air pollution kwenye mji..!Mentor una chunusi mpaka kwenye ulimi.
Jaluo nyeupe: Uliambiwa Tunga sentensi ukitumia neno jumamosi ukadakia - "Oduor usiwase huyo jiko hapa ju mamosi watajaa kwa nyumba"
</p>aunty yako anastink mpaka watu wa manispaa waliamua kum-burry alive kuprevent air pollution kwenye mji..!
na ww ucimuonee Babkey kwanza manzi ako yuko soo cheap kama callbox kiasi kwamba kila mwenye coin anaweza ku-use..!
Babkey: Ninyi ni maskini mpaka mbwa wenu ni street-kids!
Kiburudisho: Wewe ni mlafi mpaka ukichemsha maji ya kuoga unajishtukia umeshapika ugali..hahahah!
Kwamex: twende...Umefulia mpaka customer care wakikupigia wanakwambia uhame...
Al-Mende: Wewe ni mnene mpaka class unakaa next na kila mtu!!! (don't feel makmendeish!!!)
TajY: Simu yako ni ndogo mpaka yenyewe hupokeaga MISSED CALLS peke yake...unataka...
MAPENGO UPO?
Mwangalie kwanza, umekomaa mpaka unakojoa vumbi!