Matani

Matani

nikiwa bombii nyumbii std three kuna jamaa yangu akiitwa Aidan alipenda sana hili tani la pua kubwa kama KIUTULI. wale wa kunyumba wanaelewa kiutuli ni nini. mkia wa kuku akichinjwa halafu akanyonyolewa mkiani pale pana kauvimbe flani ukikatafuna kana mafuta kimtindo basi ki NGONI kinaitwa kiutuli.
 
Gari lenu limezeeka mpaka likifika kwenye kilima linatoa mkwaju ndo lipande!lol
 
Gari lenu limezeeka mpaka likifika kwenye kilima linatoa mkwaju ndo lipande!lol
ati we ni mjanja mpaka ulivyotumwa doughnuts ukarudi bila kununua ukasema ati zile zimearibika ziko na tobo katikati..!
 
nikiwa bombii nyumbii std three kuna jamaa yangu akiitwa Aidan alipenda sana hili tani la pua kubwa kama KIUTULI. wale wa kunyumba wanaelewa kiutuli ni nini. mkia wa kuku akichinjwa halafu akanyonyolewa mkiani pale pana kauvimbe flani ukikatafuna kana mafuta kimtindo basi ki NGONI kinaitwa kiutuli.
eti we unasura mbaya mpaka ulivyoenda kwenye zoo nyani alikupa ndizi...!
 
duh leo nimecheka sana. Mentor wewe ni mweusi kaa mkaa afu ndo wanakuita mdhungu. Nywele zako kaa mkutano wa nzi.. Kitambi kaa ngoma ja kijiji. Na ulivo komaaukitema mate yanadunda na ukiparua ngozi yako inatoa sembe. Ha ha ha
 
aunty yako anastink mpaka watu wa manispaa waliamua kum-burry alive kuprevent air pollution kwenye mji..!

Asavali anti yake...wewe ni mchafu, ukipita karibu na choo kinajiflush!
 
Jaluo nyeupe: Uliambiwa Tunga sentensi ukitumia neno jumamosi ukadakia - "Oduor usiwase huyo jiko hapa ju mamosi watajaa kwa nyumba"
 
ati we ni mjinga mpaka ulivyoambiwa ukanunue coloured tv ukauliza rangi gani ?
 
Jaluo nyeupe: Uliambiwa Tunga sentensi ukitumia neno jumamosi ukadakia - "Oduor usiwase huyo jiko hapa ju mamosi watajaa kwa nyumba"

Mkate usio umuka., ati kwenu ni wachumi mpaka mna-recycle toilet paper!
 
Mentor unakunya mavi magumu yakifika chini yanakunyanyua kama winchi!
 
na ww ucimuonee Babkey kwanza manzi ako yuko soo cheap kama callbox kiasi kwamba kila mwenye coin anaweza ku-use..!

Aisee! kumbe upo huku? ile KITIMOTO ya jana ilikuwaje ukala bila kulipa?
 
Babkey: Ninyi ni maskini mpaka mbwa wenu ni street-kids!

Kiburudisho: Wewe ni mlafi mpaka ukichemsha maji ya kuoga unajishtukia umeshapika ugali..hahahah!

Kwamex: twende...Umefulia mpaka customer care wakikupigia wanakwambia uhame...

Al-Mende: Wewe ni mnene mpaka class unakaa next na kila mtu!!! (don't feel makmendeish!!!)

TajY: Simu yako ni ndogo mpaka yenyewe hupokeaga MISSED CALLS peke yake...unataka...

MAPENGO UPO?
 
Back
Top Bottom