Mimi?...Sawa kamasi sugu.
Utani mwingine unawe ukaumia moyoni...japo usioneshe hasira zako.Rose1980: yaani wewe unangozi imekomaa mpaka ukikonyeza mguu mmoja unainuka!!!
Utani mwingine unawe ukaumia moyoni...japo usioneshe hasira zako.
Natafuta chuo cha matani!
Aisee nilikuwa naugulia maumivu ya man utd hii post imenifurahisha...endeleeni jamani
Nini,nini,! Nywele kama mav*zi ya iddi Amini,... mwone shavu kama nusu kg ya maini,...twende,twende sura kama umenusishwa mavi
Nyinyi kwenu ni maskini mpaka shilingi mia mbili zenu zina picha ya Nyerere amevaa vesti imeraruka!!!!
nimefulai sana bandugu.
Jaluo nyeupe: Uliambiwa Tunga sentensi ukitumia neno jumamosi ukadakia - "Oduor usiwase huyo jiko hapa ju mamosi watajaa kwa nyumba"