Wewe ni mwizi mpaka ukishikilia shilingi mia, nyerere anabaki kifua wazi!
We ni mhuni mpaka 'kengele' yako ikiona kuku wana'do' inasimama!Wewe ni mwizi mpaka ukishikilia shilingi mia, nyerere anabaki kifua wazi!
babako kagoma kununua viti kisa ana majipu kwenye ma ka li o.
Ndo maana ulipoona nanii ya mkeo ulisema 'afadhali nimepata kisima japo kimezungukwa na nyasi'na wewe ndo maana ulilazimishwa kuoa na wazazi wako kwa uzuzu ulionao siku ya ndoa mke alivyoomba tendo halali ukamuomba akuache kwa siku hiyo ili urudi kwa mamako akakufundishe namna ya ku do.
Mwangalie kwanza,
ndo mana uliambiwa utunge sentensi ukitumia; maji, maziwa, majani na sukari.
wewe ukadakia, "Leo asubuhi nimekunywa chai."....ati hivyo vyote viko ndani!!!
Ndo maana ulipoona nanii ya mkeo ulisema 'afadhali nimepata kisima japo kimezungukwa na nyasi'
Ndo maana wamekuzibia gunzi kisa una fistula, na wamekurifaa kwenda ccbrt.na wewe kwa ushamba wako ulivyoitwa m..se,,nge uliporudi nyumbani ulishangalia kwa wenzio eti umeitwa m..se..nge.
Ndo maana wamekuzibia gunzi kisa una fistula, na wamekurifaa kwenda ccbrt.
We ni mwizi mpaka uliiba nywele za 'huko chini' ukaamishia kwapani.cheki ulivyo bwe..ge, mwizi anakimbizwa kapita mbele yako wewe unampiga na ganda la yai halafu unajisifu ati umempiga mwizi.
hahahahaha....,unankumbsha kuna m2 eti aliambiwa meno ka'folen ya madumu.."Nilikukuta umezubaa ukiangalia chupa ya orange juice...eti kisa imeandikwa "concentrate"....
We ni mwizi mpaka uliiba nywele za 'huko chini' ukaamishia kwapani.
hahahahaha....,unankumbsha kuna m2 eti aliambiwa meno ka'folen ya madumu.."
Mh..madumu yapi hayo ndugu? yale ya njano ya Korie ama meupe ya mafuta ya alizeti!??lol
Duh, yaani nyinyi wote mna dhambi hadi shetani akiwaona anasema Jesus!
na wewe bichwa limekuvimba utafikiri dripu la dawa.
Ha ha haa haaaaaaaa, waaaaaaaaaaa!!!!! Yaaani... yaaani, kwenu wabahili hadi panya wamehama!
ha ha ha haaaaaaaaaaaa, jamani mbavu zanguuuuu!!!!!!
na nyie kwenu kunanuka hadi inzi wanaomba pafyum, looh!