THE STRONG
Senior Member
- Jan 21, 2012
- 107
- 20
Roho ngumu km ngariba wa kikurya
Mwone kwanza, unatabasamu utafikiri jf imerudi hewani!
we ni mwehu,hahahaha.mbav zangu
. Duh Kiboko mbavu ka Toothpick, Ndomana mimacho imekutoka kama umekabwa kooni na Kiazi cha mnuso.Mwone kwanza una mbavu nyembamba ka toothpick
wewe unasula mbaya mpaka WASILA ANAKUCHEKA!
Asante!We ni mchoyo mpaka ukipigiwa simu wakati unakula unaenda kujificha kwanza ndo upokee!
<br />
<br />
we miguu yako miembamba ka spoku za bike.