Matani

Matani

Mwone kwanza, unatabasamu utafikiri jf imerudi hewani!
 
Kariakoo Mtu zamani Bw Mdogo nilipita na mtu mzima mtu alipigwa LANI mpaka niliona noma sababu nipo na mtu mzima...

"Sura kama Nyeo La NGOMbe uliweke Kwenye Fremu ya Picha". doh.
 
Twende twende muone meno yana rangi rangi na mpanglio wake ka foreni ya madumu!

gody ulijamba kanisani mpaka mchungaji akasahau ukurasa!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha mnatukmbusha mbali sana, inaonekana nyie kwenu mpo wengi mpka ndani kuna round about kuslow jam.
 
hahahahaa twende twende yani we ni mweusi hadi ukisimama kwenye kona akija mtu atadhani pana shortcut akatize...
Twend twende... We ni mweusi hadi ukikaa kwenye banda la mkaa mtu akija atasema naomba unifungie huo mkaa mkubwa
 
We mentor kwenu mko wengi mpaka mnakunywa chai kwa sprinkler!
 
umekonda hadi ukimeza big G unanekana ka una mimba!
 
mtu wenu una kichwa kikubwa mwili unaonekana ka lolpop
 
Una hraaaka ka nshale wa sekunde

Kitivii chenu kidogo mpaka ukitaka kuangalia lazima uzibe jicho moja

Mweusi ukikanyaga mkaa unaacha footprint.

Mweupe ka kidonge
 
Back
Top Bottom