Kipanga The Notable
Member
- Jun 5, 2014
- 34
- 4
Ha ha ha ha ha ha... Balaa Tupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDiyo maana wewe ni mfupi hadi ukinywa maji unakojoa hapo hapo!
Hii Nita m cc ntu mmoja hivi
Twende twende .....mashavu ka mimba ya panya ......twende twende .....,bichwa ka boga .....
Ha ha ha ha ha ha... Balaa Tupu!
Pua KA Gurudum.
kwenu mpo wengi hadi sebuleni kwenu kuna round about
Mi naamini mnataniana tu, hamna ukweli humu
Muone ulivyo mrefu ukinya maziwa fresh adi yafike tumboni yamesha ganda kua mtindi hahahaaaaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wassira naye yupo anatumia "Chloroquine"
Nimecheka hadi bhaaasi