Matani

Matani

Nyie ni warefu hadi mkiwa mnavaa underwear mbichi iliyofuliwa ikifika mahali pake inakuwa imekauka
 
Mkeo mzungu ni mweupe hadi anaacha footprints kwenye snow
 
Mento dada zako ni wabaya mpaka akija mtu kutoa posa baba yako anasema acheni utani basi.
 
Nyie ni warefu hadi mkiwa mnavaa underwear mbichi iliyofuliwa ikifika mahali pake inakuwa imekauka
na nyie mkinywa maziwa fresh...yakifika tumbini yanafika yakiwa mgando!
 
Mentor familia yenu ni masikini mpaka majambazi yakivamia nyumba yenu huwa wanawaachia pesa!
 
Mento dada zako ni wabaya mpaka akija mtu kutoa posa baba yako anasema acheni utani basi.

We ni mrefu mpaka ukila mayai mabichi yakifika tumboni ni kifaranga...ukidenki ni jogoo!!!!
 
Back
Top Bottom