Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kichwa kama:lock1:Na wewe njiwa...yani kwenu mko wengi mpaka nduguyo wa mwisho anaitwa 'yatosha'
ndo maana wewe ni mweusi mpaka huwezi kuwa na bright ideas! Hahaha....
Hahah..wewe ni m-dotcom mpaka ukinunua mboga mboga sokoni huwa unaziwekaga kwa flashdisk!yaani ambao hawatmelei JF wanakosa mengi sana...........humu ni safi sana,tunakula elimu,tunapata tiba,tunapata maendeleo,tunapata burudani saaaaafi.
Na wewe ni ****, juzi ulikimbilia lift/elevator upande watu walioko ndani wakakuambia imejaa..na wewe ukadai, "haina shida, nitasimama"
Una kichwa kikubwa mpaka ukienda kwa kinyozi una-admitiwa!
Na wewe simu yako ya zamani mpaka ukituma SMS badala ya kuonyesha kabahasha kanatumwa, inaonyesha mmasai akikimbia...
hahahaha...na nyie kwenu mbali na hakuna lami mpaka ukitumiwa message inakuja na vumbi!!! lol
Ndo maana wewe na demu wako mmekonda mpaka mkitembea mmshikana mikono mnakaa...Capital H.