Matani

Matani

imebidi niweke mbav za kchna,orgno kushnei!

hahaha..ati simu yako yako imefulia hadi ukiweka ringtone ya, "..i wanna b a billionaire..." inajizima!
 
yaani ambao hawatmelei JF wanakosa mengi sana...........humu ni safi sana,tunakula elimu,tunapata tiba,tunapata maendeleo,tunapata burudani saaaaafi.
 
yaani ambao hawatmelei JF wanakosa mengi sana...........humu ni safi sana,tunakula elimu,tunapata tiba,tunapata maendeleo,tunapata burudani saaaaafi.
Hahah..wewe ni m-dotcom mpaka ukinunua mboga mboga sokoni huwa unaziwekaga kwa flashdisk!
 
Na wewe ni ****, juzi ulikimbilia lift/elevator upande watu walioko ndani wakakuambia imejaa..na wewe ukadai, "haina shida, nitasimama"

Gheto lako limejaa kunguni mpaka umeamua kuwatungia jina una waita Wavetenam
 
Kijiji chenu kiko mbali mpaka ukipigiwa cmu inaita keshokutwa!

hahahaha...na nyie kwenu mbali na hakuna lami mpaka ukitumiwa message inakuja na vumbi!!! lol
 
Gheto lako limejaa kunguni mpaka umeamua kuwatungia jina una waita Wavetenam

Na wewe simu yako ya zamani mpaka ukituma SMS badala ya kuonyesha kabahasha kanatumwa, inaonyesha mmasai akikimbia...
 
Mentor: kwenu ni wachafu mpk mende wenu wanavaa malapa....

Ngombe yenu mzee mpaka ukikamua anatoa yogurt

twende ..twende... ..nyumba yenu ina gate lakini hakuna fence.

demu wako ni mbyaya mpaka alikataliwa ku act horror movie Hollywood

baba yako ni mshamba, alienda kununu ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka

Back
Top Bottom