Matapeli wa kisiasa waliopoteza chanzo cha mapato wanatafuta msaada kwenye tuta

Matapeli wa kisiasa waliopoteza chanzo cha mapato wanatafuta msaada kwenye tuta

Una uhakika ni wangapi wanatumia ARV? Je, unayegombana naye hata kama anatumia hawezi kuzinunua? Acha utoto na mawazo mfilisi
Mimi najua watawala wataendelea kula maisha ya raha mustarehe!Ila hao wanyonge maisha yakiwa magumu basi lazima watauchukia utawala!Na hapo ndipo watakuwa tayari kwa mabadiliko!Lakini kama watu wanauwawa,kutekwa,kupigwa risasi,kubambikiziwa kesi,kuhujumiwa uchaguzi halafu hakuna kinachotokea basi tabia hiyo itashamiri!
 
Zuzu ni wewe ambaye hujui makosanyo kwa sasa wastani ni kiasi gani,umebaki kushabikia upuuzi.
Mngekuwa na 1.5t kwa mwezi mngetafuna hela ya corona? Hesabu za kwenye makaratasi hata Machinga anaziweza. Mmekuwa mamotivational speakers matapeli.
 
Kuna haja ya kujiuliza na kufanya utafiti wa kina,
kwa nini wananchi tumepoteza uzalendo kiasi hiki na nchi yetu pendwa??
 
Huu uchaguzi mbona unaleta mapya, kukosa ubunge sio kesi, 2025 ipo na inakuja.

Tutazoa wabunge na Madiwani na Urais mwaka 2025 TUNDU LISSU.

Tuwaachie CCM watawale nchi yao.
Hata kukosa misaada sio kesi 2025 wakianza kutekeleza haki za binadamu na demokrasia kama wakivyosaini kwenya mikataba watapewa fedha.
 
Uta
Nashauri ARV nazo zisitolewe bure ili tuzinunue ghali kama yalivyo madawa ya Cancer!
Mbinyo uwe mkali mpaka kila mwananchi ausikie umegonga mfupa!Pengine tutakumbuka kutenda haki!
Utaanza kufa wewe kwa kukosa hiyo ARV hapo ndo utajua maombi hayo ulijiombea wewe.
 
HADI MACHANGU WAMEVAMIA SIASA????

HAKIKA HADI 2025 TUTAENDELEA KUONA MENGI.

UJITAHIDI KUDIGEST MAMBO KABLA HUJAANDIKA.
 
Hao ndio wale huwa wanaropoka mtaani kama hivi"Tushachoka sie bora ije vita tu tujue moja"
Sasa mtu unabaki unamshangaa hivi huyu anaijua vita kweli na anafikiri vita ikija atakuwa na nguvu hata ya kukakia sofa la shemeji yake kula ugali wa bure
Unabaki kupigwa na butwaa tu.
 
Hao ndio wale huwa wanaropoka mtaani kama hivi"Tushachoka sie bora ije vita tu tujue moja"
Sasa mtu unabaki unamshangaa hivi huyu anaijua vita kweli na anafikiri vita ikija atakuwa na nguvu hata ya kukakia sofa la shemeji yake kula ugali wa bure
😆😂

Mungu awasaidie!
 
Sikutegemea kama akili yako ndogo itanielewa!Siku zote vikwazo haviwaathiri watawala moja kwa moja bali wananchi wa kawaida!Nataka iwe hivyo ili wananchi tupitie kipindi kigumu na hapo ndipo moja kati ya haya mawili litatokea:
1.Serikali itajirudi na kurekebisha ilipokosea ili kuwaondolea maumivu wananchi wake!
2.Serikali itakengeuka na kukomaa hivyo kufanya wananchi waichukie hivyo kuiondoa madarakani kwa kura au kwa namna yoyote!

Akili yako sijutegemea kama ungeweza kujiongeza na kufikiria haya!Jinga kabisa!

Mimi hupenda kutoa mfano wa upinzani kwetu Kilimanjaro:

Karibu asilimia 90 ya wazee Kilimanjaro yaani mama zetu na baba zetu wako CCM na karibu vijana 70% wapo upinzani.

Hawa wazee tunaishi nao, tunapokea maelekezo yao, tunawapatia mahitaji yao, tunahakikisha mwisho wa mwaka tuna watembelea na tunawaachia kitu mkononi na kupata baraka zao. Kama tunaweza kuishi nao wazee wetu tunashindwaje kuishi na wanaCCM wengine. Au kwa kuwa sio wazazi wetu?

Yaliyotokea yametukwaza sana lakini wazee wetu hutufukuza tukifikia umri wa kutafuta mbona tunarudi kuwapelekea chochote na tuna jivunia wazee wetu.

Jee wanachama wa CCM ambao wengine huchanganyika na wazee wetu kwa nini tuwaone ni taabu?.

Tubadilike, Uchaguzi upo na utapita lakini maisha yata endelea.
 
Akili za kopopoma huwa zipo dampo la lumumba pale!! Nafikiri umeamshwa kutoka damponi hapo.
 
Akili za kopopoma huwa zipo dampo la lumumba pale!! Nafikiri umeamshwa kutoka damponi hapo.
 
Nashauri ARV nazo zisitolewe bure ili tuzinunue ghali kama yalivyo madawa ya Cancer!
Mbinyo uwe mkali mpaka kila mwananchi ausikie umegonga mfupa!Pengine tutakumbuka kutenda haki!
Unaomba misaada ya ARV lakini huombi misaada ya maendeleo. Shame
 
Mbona mnaoumia kwa chadema kupoteza ni vijana wa MATAGA na UVCCM? Maana mnashindana kila siku kuanzisha nyuzi za kuhusu CHADEMA
 
Nani ameumia? Tunashangaa mnaomba msaada kwenye tuta wakati mnajua daladala halitasimama.
kwanini mshangae watu ambao wameshapoteza, huo muda wa kushangaa kwanini msifikirie namna ya kujibu mlipopeleka pesa ya mabeberu mliyochukua kwa ajili ya covd 19
 
Back
Top Bottom