Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Huu uchaguzi mbona unaleta mapya, kukosa ubunge sio kesi, 2025 ipo na inakuja.Nasema mabeberu yabane mpaka ARV na isiwe msaada bali tununue!
Mimi najua watawala wataendelea kula maisha ya raha mustarehe!Ila hao wanyonge maisha yakiwa magumu basi lazima watauchukia utawala!Na hapo ndipo watakuwa tayari kwa mabadiliko!Lakini kama watu wanauwawa,kutekwa,kupigwa risasi,kubambikiziwa kesi,kuhujumiwa uchaguzi halafu hakuna kinachotokea basi tabia hiyo itashamiri!Una uhakika ni wangapi wanatumia ARV? Je, unayegombana naye hata kama anatumia hawezi kuzinunua? Acha utoto na mawazo mfilisi
Mngekuwa na 1.5t kwa mwezi mngetafuna hela ya corona? Hesabu za kwenye makaratasi hata Machinga anaziweza. Mmekuwa mamotivational speakers matapeli.Zuzu ni wewe ambaye hujui makosanyo kwa sasa wastani ni kiasi gani,umebaki kushabikia upuuzi.
Hata kukosa misaada sio kesi 2025 wakianza kutekeleza haki za binadamu na demokrasia kama wakivyosaini kwenya mikataba watapewa fedha.Huu uchaguzi mbona unaleta mapya, kukosa ubunge sio kesi, 2025 ipo na inakuja.
Tutazoa wabunge na Madiwani na Urais mwaka 2025 TUNDU LISSU.
Tuwaachie CCM watawale nchi yao.
Mimi nilitaka kufahamu yeye atapata faida gani ARV ikianza kuuzwa?
Utaanza kufa wewe kwa kukosa hiyo ARV hapo ndo utajua maombi hayo ulijiombea wewe.Nashauri ARV nazo zisitolewe bure ili tuzinunue ghali kama yalivyo madawa ya Cancer!
Mbinyo uwe mkali mpaka kila mwananchi ausikie umegonga mfupa!Pengine tutakumbuka kutenda haki!
Unabaki kupigwa na butwaa tu.Hata mimi nimemshangaa sana,yaani kuna watanzania ni mambumbumbu mpaka mtu unashangaa anaishi mazingira gani na anaiebdeshaje familia yake
😁😁,basi mbinyo uje tu!Uta
Utaanza kufa wewe kwa kukosa hiyo ARV hapo ndo utajua maombi hayo ulijiombea wewe.
Kwani nani kawashika mkono wasitawale?Huu uchaguzi mbona unaleta mapya, kukosa ubunge sio kesi, 2025 ipo na inakuja.
Tutazoa wabunge na Madiwani na Urais mwaka 2025 TUNDU LISSU.
Tuwaachie CCM watawale nchi yao.
Unabaki kupigwa na butwaa tu.
😆😂Hao ndio wale huwa wanaropoka mtaani kama hivi"Tushachoka sie bora ije vita tu tujue moja"
Sasa mtu unabaki unamshangaa hivi huyu anaijua vita kweli na anafikiri vita ikija atakuwa na nguvu hata ya kukakia sofa la shemeji yake kula ugali wa bure
Sikutegemea kama akili yako ndogo itanielewa!Siku zote vikwazo haviwaathiri watawala moja kwa moja bali wananchi wa kawaida!Nataka iwe hivyo ili wananchi tupitie kipindi kigumu na hapo ndipo moja kati ya haya mawili litatokea:
1.Serikali itajirudi na kurekebisha ilipokosea ili kuwaondolea maumivu wananchi wake!
2.Serikali itakengeuka na kukomaa hivyo kufanya wananchi waichukie hivyo kuiondoa madarakani kwa kura au kwa namna yoyote!
Akili yako sijutegemea kama ungeweza kujiongeza na kufikiria haya!Jinga kabisa!
Unaomba misaada ya ARV lakini huombi misaada ya maendeleo. ShameNashauri ARV nazo zisitolewe bure ili tuzinunue ghali kama yalivyo madawa ya Cancer!
Mbinyo uwe mkali mpaka kila mwananchi ausikie umegonga mfupa!Pengine tutakumbuka kutenda haki!
kwanini mshangae watu ambao wameshapoteza, huo muda wa kushangaa kwanini msifikirie namna ya kujibu mlipopeleka pesa ya mabeberu mliyochukua kwa ajili ya covd 19Nani ameumia? Tunashangaa mnaomba msaada kwenye tuta wakati mnajua daladala halitasimama.
Naunga mkono hojaNashauri ARV nazo zisitolewe bure ili tuzinunue ghali kama yalivyo madawa ya Cancer!
Mbinyo uwe mkali mpaka kila mwananchi ausikie umegonga mfupa!Pengine tutakumbuka kutenda haki!