Matapeli wa kisiasa waliopoteza chanzo cha mapato wanatafuta msaada kwenye tuta

Huu uchaguzi mbona unaleta mapya, kukosa ubunge sio kesi, 2025 ipo na inakuja.

Tutazoa wabunge na Madiwani na Urais mwaka 2025 TUNDU LISSU.

Tuwaachie CCM watawale nchi yao.
Mbona tumeshawaacha kitambo sana. Ila wao Sasa Mara mtuletee viti maalumu, Mara SUK.

Chapeni kazi jamani siku zinakimbia mtashangaa ata reli ya mwendo Kasi haishi.

#Usitukane baba yako EU anayekulisha ugali#
 
Hawa wapambe wa chama wanajing'ata na wanajipuliza duu CCM bwana
 
Lengo la mtoa mada Ni kuwatafutia watu BAN
 
unajisumbua bure kujiletea pressure zisizo za lazima. You can not change the world
 
Wewe kweli ni mwendazimu, mmeiba na kisha mnatukana wale mliowaibia.
 
Nashauri ARV nazo zisitolewe bure ili tuzinunue ghali kama yalivyo madawa ya Cancer!
Mbinyo uwe mkali mpaka kila mwananchi ausikie umegonga mfupa!Pengine tutakumbuka kutenda haki!
Kwani nani tashindw kununua watawala au wananchi chadema bure kabisaa
 
Kwani nani tashindw kununua watawala au wananchi chadema bure kabisaa
Wananchi wa kawaida ndio watakaotaabika!Na ikitokea hivyo serikali lazima irekebishe mambo ili ichaguliwe tena!Au unadhani kuna mtu atachagua serikali inayomletea mateso?
 
Well said 👏 mkuu
 
Kuna haja ya kujiuliza na kufanya utafiti wa kina,
kwa nini wananchi tumepoteza uzalendo kiasi hiki na nchi yetu pendwa??
Nani amepoteza uzalendo? Nyie wacheza bao na wanywa Alkasusu wa Dar? Njooni mikoani muone wanaume...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…