Matapeli waoneeni huruma Watanzania

Matapeli waoneeni huruma Watanzania

Yaani mnaongea nae kabisa mnashindwa kumpata huyo tumbili
Inawezekana kwa kushirikisha mamlaka yaani kampuni za simu wao wataangalia anasomeka mtandao gani na pesa akipokea anaziforwad namba ipi na anatoa kwa wakala gani.Then police wa kituo cha jirani wanapewa Kazi ile namba anayotolea pesa anatoa kwa wakala gani
KWA msaada wa kampuni ya simu pesa mtu anazuga kamtumia pesa akienda kutoa kwa wakala police wanakaa jirani, sababu ni mpokeaji simu atapigiwa atapokea akipokea watajua ni ndie KISHA anakamatwa.
Au watumie namba za marafiki zake anaowasiliana nao, anakamatwa rafiki amuuze mwenzake akija anakamatwa,anapewa kesi ya uhujumu uchumi,utakatishaji,nk.
Namba zake ni 0672312375 na 0684048223 Ili asizid watapeli watu.
 
Hii number iko hewan, huyu mtu seems anajiamn sana, nmempa vtsho yeye anatoa tu matusi na kutoa lugha mbovu mbovu
 
Inawezekana kwa kushirikisha mamlaka yaani kampuni za simu wao wataangalia anasomeka mtandao gani na pesa akipokea anaziforwad namba ipi na anatoa kwa wakala gani.Then police wa kituo cha jirani wanapewa Kazi ile namba anayotolea pesa anatoa kwa wakala gani
KWA msaada wa kampuni ya simu pesa mtu anazuga kamtumia pesa akienda kutoa kwa wakala police wanakaa jirani, sababu ni mpokeaji simu atapigiwa atapokea akipokea watajua ni ndie KISHA anakamatwa.
Au watumie namba za marafiki zake anaowasiliana nao, anakamatwa rafiki amuuze mwenzake akija anakamatwa,anapewa kesi ya uhujumu uchumi,utakatishaji,nk.
Namba zake ni 0672312375 na 0684048223 Ili asizid watapeli watu.
Sasa nani afanye hiyo kazi km sio aliyetapeliwa.
Wauzieni hiyo kesi polisi muwaachie wadeal nae wakamtoe upepo mpk akome
 
Mbona huu mchezo wa kishamba tena wa kizamani. Hii ni kama hadithi ya kutunga. Yaani, mtu anayetafuta pesa aingiziwe fedha halafu akurudishie!
Hawa wapumbavu hawajawahi kunipata ,ila ndio tujiulize namba wanafanya kubahatisha àu wanazipata sehemu.
Washanipigia sana simu nimeshatukanana nao sana.
 
Sasa nani afanye hiyo kazi km sio aliyetapeliwa.
Wauzieni hiyo kesi polisi muwaachie wadeal nae wakamtoe upepo mpk akome
Mamlaka husika,na kampuni husika za simu kwa kushirikisha na vyombo vingine
 
Hawa wapumbavu hawajawahi kunipata ,ila ndio tujiulize namba wanafanya kubahatisha àu wanazipata sehemu.
Washanipigia sana simu nimeshatukanana nao sana.
Wananuni namba yeyeto KISHA usikiliza unavyoongea wanajua huyu ni mjanja au siyo
 
Mimi washakuja Sana eti mtu private number anakupigia simu anakuambi anapiga toka sijui tigo au voda bima huwa siwapi nafasi
 
Nilimkamata mmoja 2017 nilimchapa hatari alifurahi na show

Ilikuwa hivi alimtapeli msichana wa rafiki yangu alikuwa akifanya kazi ya uwakala, alimlaghai na akamtapeli kama laki tatu hivi na kidogo, na simu

Alichokosea akachukua namba kwenye simu ya jamaa ambaye ni rafiki yangu akawa anamlaghai yeye ni shemeji yake na amekwama anaomba amtumie pesa jamaa hakujua naye akamtumia pesa jamaa akaona dezo kila baada ya siku mbili akawa anaomba pesa tena jamaa akawa anamtumia bila ya kujua,

Baada kama ya wiki msichana akamtafuta mchumba ake na kumjulisha kuwa nimetapeliwa pesa na simu ndio maana unaona sipo hewani, jamaa ndio kushituka kuwa anatapeliwa akaona hapa njia ya kumpata ni kuendelea kuwasiliana nae na kumtumia pesa ndogo ndogo ili ampate na alimwambie yeye yupo mkoani yaani yupo mbali na mchumba ake kwa hivyo hata mawasilino siku hizi ampati.. aaaa

Jamaa alinifichaga huo mchongo, akajitahidi kumtega jamaa na rafiki zake wengine wakakwama , sasa kuna jamaa akaniibia siri kuwa mwanao katapeliwa yeye na demu wake, yaani na bado anaendelea kutapeliwa, nikakutana naye nikamwambia mwanangu umetapeliwa na unanificha mwanao, akashtuka akanambia sorry mwanangu ndio akanipa picha lote hilo... nikamwambia kumpata mbona kitu rahisi akuamini,

Mimi nikamwambia huyo jamaa lazima atakuwa anakunywa pombe tu wewe mwambie jumaapili moja mkutane mlewe alafu mambo mengine niachie mimi, ilikuwa alhmisi nikamwambia mtumie sms sasa hivi jamaa akamtumia sms yulee tapeli akajibu kuwa pombe zinapanda na akakubali kukutana na shemeji yake aliyemtapelia msichana wake kuwa watakutana waumwagilie moyoo daaah kweli bia tamu jamaa akaingia king banah

Lakini baada ya kuchagua bar kama nne hivi tofauti na kumpeleka jamaa na kumwambia aende bar ingine hatumaye akachagua bar moja baada ya kutusumbua sana tulikuwa na ngoma ngumu kama saba hivi ambazo hazicheki ovyo

Huyo jamaa yangu aliniona nna roho mbaya hatari, kuanzia mchoro mapaka kumtia mkononi na kichapo alichopata jamaa tapeli.. tulibadilisha muonekanao wa sura na miguu yake kwa nondo, tulihakikisha akipumua anatoa damu mdomoni na puani na awezi kutembea ndipo tulipompeleka polisi

Hao ni wetu na sisi ndio dawa yao- mimi nawahitaji sana hao
 
Ipo milioni 3 ya haraka mwenye kuweza kunikamatia huyo tapeli anichek private.
Nataka nionane nae live nimuonyeshe yeye ni boya tu ujanja wa kishamba. Nimetangaza dau popote alipo TANZANIA tutafika.
 
Anaeweza ingia mtamboni tumnase na tumuweke wazi hapa if dau lipo twende Kazi.
Yupo hewani ni rahisi kumdaka
 
Nilimkamata mmoja 2017 nilimchapa hatari alifurahi na show

Ilikuwa hivi alimtapeli msichana wa rafiki yangu alikuwa akifanya kazi ya uwakala, alimlaghai na akamtapeli kama laki tatu hivi na kidogo, na simu

Alichokosea akachukua namba kwenye simu ya jamaa ambaye ni rafiki yangu akawa anamlaghai yeye ni shemeji yake na amekwama anaomba amtumie pesa jamaa hakujua naye akamtumia pesa jamaa akaona dezo kila baada ya siku mbili akawa anaomba pesa tena jamaa akawa anamtumia bila ya kujua,

Baada kama ya wiki msichana akamtafuta mchumba ake na kumjulisha kuwa nimetapeliwa pesa na simu ndio maana unaona sipo hewani, jamaa ndio kushituka kuwa anatapeliwa akaona hapa njia ya kumpata ni kuendelea kuwasiliana nae na kumtumia pesa ndogo ndogo ili ampate na alimwambie yeye yupo mkoani yaani yupo mbali na mchumba ake kwa hivyo hata mawasilino siku hizi ampati.. aaaa

Jamaa alinifichaga huo mchongo, akajitahidi kumtega jamaa na rafiki zake wengine wakakwama , sasa kuna jamaa akaniibia siri kuwa mwanao katapeliwa yeye na demu wake, yaani na bado anaendelea kutapeliwa, nikakutana naye nikamwambia mwanangu umetapeliwa na unanificha mwanao, akashtuka akanambia sorry mwanangu ndio akanipa picha lote hilo... nikamwambia kumpata mbona kitu rahisi akuamini,

Mimi nikamwambia huyo jamaa lazima atakuwa anakunywa pombe tu wewe mwambie jumaapili moja mkutane mlewe alafu mambo mengine niachie mimi, ilikuwa alhmisi nikamwambia mtumie sms sasa hivi jamaa akamtumia sms yulee tapeli akajibu kuwa pombe zinapanda na akakubali kukutana na shemeji yake aliyemtapelia msichana wake kuwa watakutana waumwagilie moyoo daaah kweli bia tamu jamaa akaingia king banah

Lakini baada ya kuchagua bar kama nne hivi tofauti na kumpeleka jamaa na kumwambia aende bar ingine hatumaye akachagua bar moja baada ya kutusumbua sana tulikuwa na ngoma ngumu kama saba hivi ambazo hazicheki ovyo

Huyo jamaa yangu aliniona nna roho mbaya hatari, kuanzia mchoro mapaka kumtia mkononi na kichapo alichopata jamaa tapeli.. tulibadilisha muonekanao wa sura na miguu yake kwa nondo, tulihakikisha akipumua anatoa damu mdomoni na puani na awezi kutembea ndipo tulipompeleka polisi

Hao ni wetu na sisi ndio dawa yao- mimi nawahitaji sana hao
Huyo tapeli hakuwa mbobezi kazini amini tena mkuu.
 
Rusha namba

Weka namba sasa mjuba ili tufanye kazi
 
Back
Top Bottom