Uchaguzi 2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

Uchaguzi 2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.

Hapo bado reserves, hazijaanza kazi.

Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.

Aidha CHADEMA ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha (Hapa namkumbuka Mzee Sabodo) kwani ni uwekezaji usiolipa.

WEKA KUMBUKUMBU BILA SHAKA LISSU ATAACHIA KAMPENI NJIANI!!
 
Mataga mlianza kwa kutabiri kuwa Lissu hatorudi kutoka Belgium
Mkatabiri akitua tu Airport atakamatwa na PoliCCM
Mkatabiri kuwa jina lake litaenguliwa
Mkatabiri mikutano ya Lissu itakosa kabisa wahudhuriaji

Inshort mataga mmeanza kuhara damu.
Aliacha wataalamu Muhimbili mkampeleka Belgium ili mpige hela tu.
 
Ukilinganisha Mipangilio ya kampeni ya CCM na Chadema utaona ni namna gani Chadema wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa ,za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza...
Kwa mtizamo wako unafikiri kwamba hakuna mahali pengine Chadema wanafanya mikutano mpaka lissu awepo? Mikutano wanayofanya CCM hata Chadema inafanyika. Kaa kwa kutulia alafu uje hata 29 oct usimulie vizuri kuanguka kwenu katika uchaguzi mkuu 2020.
 
Kwa mtizamo wako unafikiri kwamba hakuna mahali pengine Chadema wanafanya mikutano mpaka lissu awepo? Mikutano wanayofanya CCM hata Chadema inafanyika. Kaa kwa kutulia alafu uje hata 29 oct usimulie vizuri kuanguka kwenu katika uchaguzi mkuu 2020.
Wapi ? na nani anayeweza kuitisha mikutano mikubwa huko chadema?
 
Jamaa zimekaa kama maharage yanayochemka! Yani mara hapa mara pale!

Kingine ni kwamba hawana hela! Hizi zinazotumika sasa hivi ni za yule beberu wake anaetoa vitamko mitandaoni.

Kingine kampeni siyo kesi za MIGA,

Cha mwisho Mbowe mwaka huu hana furaha kabisa maana uchaguzi huu hajapiga hela kama kawaida yake ya miaka iliyopita. Yani Lisu kwa Mbowe siyo asset kabisa.
 
Ukilinganisha Mipangilio ya kampeni ya CCM na Chadema utaona ni namna gani Chadema wameelemewa.
CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa ,za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga...Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha...
Kumbe unatabiri Wenzako walitabiri pia kuwa mpaka 2020 upinzani utakuwa umekufa kabisa. Wengine wakatabiri Tanzania itakuwa kama Dubai leo wanatabiri tena itakuwa kama Ulaya. Endelea na ramli chonganishi
 
Kumbe unatabiri!!!!!? Wenzako walitabiri pia kuwa mpaka 2020 upinzani utakuwa umekufa kabisa. Wengine wakatabiri Tanzania itakuwa kama Dubai leo wanatabiri tena itakuwa kama Ulaya. Endelea na ramli chonganishi
Mark my words ....huwa sidanganyi
 
Mataga mlianza kwa kutabiri kuwa Lissu hatorudi kutoka Belgium
Mkatabiri akitua tu Airport atakamatwa na PoliCCM
Mkatabiri kuwa jina lake litaenguliwa
Mkatabiri mikutano ya Lissu itakosa kabisa wahudhuriaji

Inshort mataga mmeanza kuhara damu.
Hakuna mtu wa kumakamata huyo mtu wenu ndio maana unaona alipofika tu akaanza kuhangaika akamatwe ili yule beberu wake apate cha kusema.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom