Uchaguzi 2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

Fisi ukiwa unatembea usiku anakufuata kwa nyuma kwa upumbavu alionao anadhani mkono unaoning'inia utadondoka!
 
Kwa mtizamo wako unafikiri kwamba hakuna mahali pengine Chadema wanafanya mikutano mpaka lissu awepo? Mikutano wanayofanya CCM hata Chadema inafanyika. Kaa kwa kutulia alafu uje hata 29 oct usimulie vizuri kuanguka kwenu katika uchaguzi mkuu 2020.
Ngoja tuone
 
Upeo wako ni zero kabisa, nimekuuliza what do you really pay those business tycoons in return baada ya uchaguzi?

Huna jibu, unakuja na habari za lissu hauziki, kwani wapiga kura ni wafanya biashara? Ni wananchi tena wa hali ya chini mliowabomolea nyumba zao na kutafuna pesa za majanga
Umeanza kufuatilia siasa lini?
Umeingia JF lini?
Maana usingenihoji kuhusu wafanyabiashara...
Kwa ufupi Utegemezi wa wafanyabiashara ilikuwa ni hulka ya CCM Mwaka 2015 kurudi nyuma ....ilipofika 2015 chadema ikaanza kuiga hulka hiyo...na walitegemea fedha zao kumuangusha JPM...Ikashindikana...na sasa wafanyabiashara wamewekewa mazingira ambayo hayahitaji mwanasiasa kukutisha.
 
Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.

Hapo bado reserves....hazijaanza kazi.

Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.....

Aidha CHADEMA ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha kwani ni uwekezaji usiolipa.

WEKA KUMBUKUMBU
Kwa sababu wewe ni jinga lao huo utabiri wako haushangazi maana ndiyo upeo wa akili zako
 
Watu kama hawa wajinga na wapuuzi eti ndio wanaaminika sana huko ccm na Magufuli anawapenda sana, halafu eti tunatarajia kupata maendeleo, tabu sana
 
Umeanza kufuatilia siasa lini?
Umeingia JF lini?
Maana usingenihoji kuhusu wafanyabiashara...
Kwa ufupi Utegemezi wa wafanyabiashara ilikuwa ni hulka ya CCM Mwaka 2015 kurudi nyuma ....ilipofika 2015 chadema ikaanza kuiga hulka hiyo...na walitegemea fedha zao kumuangusha JPM...Ikashindikana...na sasa wafanyabiashara wamewekewa mazingira ambayo hayahitaji mwanasiasa kukutisha.
Endeleeni kuchukua fedha za wafanyabiashara maana umeshasema ni hulka ya ccm

Kama chadema aliweza kujiendesha bila pesa za mfanyabiashara kipindi cha nyuma iweje ashindwe sasa, kumbuka matibabu ya Lissu tulichanga, kesi ya akina Mbowe tulichanga na hata kampeni hizi bado tunachanga, hiyo ndio nguvu ya Umma
 
Ningekuwa Mimi JPM kura zingehesabiwa kwa wazi kabisa mbele ya watu kila kituo , cha msingi ulinzi uwepo wa kutosha ili kichaka wanachojifichia kila mwaka cha kuibiwa kura kichomwe Moto [emoji3][emoji3], Lissu mweupe Sana
Akifanya hivyo atapigwa asubuhi na mapema, hawezi fanya huo ujinga mana anajua kichapo chake
 
Lissu wakimbizeeeeeeeeeeeeeee walidhania watatu impress na mandege yao...wamekuta sivyo..wanahangaika..
Wamebakia na ahadi za kujenga viwanja vikubwa vya ndege kila mkoa wakati wananchi wa mikoa hiyo hata uwezo wa kununua baiskeli hawana
 
Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.

Hapo bado reserves....hazijaanza kazi.

Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.....

Aidha CHADEMA ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha kwani ni uwekezaji usiolipa.

WEKA KUMBUKUMBU
A dreamer dreaming!
 
Wewe wasema
 
Hahahaha chadema wana hali mbaya sana walidhani vijembe ndio vinge wapaisha
 
Mataga mlianza kwa kutabiri kuwa Lissu hatorudi kutoka Belgium
Mkatabiri akitua tu Airport atakamatwa na PoliCCM
Mkatabiri kuwa jina lake litaenguliwa
Mkatabiri mikutano ya Lissu itakosa kabisa wahudhuriaji

Inshort mataga mmeanza kuhara damu.
Bila kusahau pia wameanza kutagishwa
 
Mataga mlianza kwa kutabiri kuwa Lissu hatorudi kutoka Belgium
Mkatabiri akitua tu Airport atakamatwa na PoliCCM
Mkatabiri kuwa jina lake litaenguliwa
Mkatabiri mikutano ya Lissu itakosa kabisa wahudhuriaji

Inshort mataga mmeanza kuhara damu.
Lazima kuna mganga anawadanganya maana mataga ni wachawi sana
 
Back
Top Bottom