Kichwa maji kabisa wewe.Jamaa zimekaa kama maharage yanayochemka! Yani mara hapa mara pale!
Kingine ni kwamba hawana hela! Hizi zinazotumika sasa hivi ni za yule beberu wake anaetoa vitamko mitandaoni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa maji kabisa wewe.Jamaa zimekaa kama maharage yanayochemka! Yani mara hapa mara pale!
Kingine ni kwamba hawana hela! Hizi zinazotumika sasa hivi ni za yule beberu wake anaetoa vitamko mitandaoni...
Ishapitwa hiyo haina kiki tafuta nyingine.Nitatoa milioni 50 kwa kila kijiji. Na kila mwalimu atapata laptop 1.
Nimefurahi sana hotuba ya JPM leo Shinyanga.Ilikuwa ni kuchambua ilani ya Ccm namna itavyomsaidia mwananchi wa Shinyanga kwa kila sekta. Kuanzia miundo mbinu, afya na elimu. Sio habari za kuleta jazba na chuki majukwaani.Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha....
JPM anaenda kubadilisha mwenendo wa siasa za Tanzania ...Ilani ni kama bibilia katika siasa za 2020.Nimefurahi sana hotuba ya JPM leo Shinyanga.Ilikuwa ni kuchambua ilani ya Ccm namna itavyomsaidia mwananchi wa Shinyanga kwa kila sekta. Kuanzia miundo mbinu, afya na elimu. Sio habari za kuleta jazba na chuki majukwaani.
CCM ndio kitatajuta na makada wake maana ukandamizwaji wa haki uliotokea kwa kipindi cha miaka mitano ni wa kutisha serikali dhalmu lazima iondoshwe kutoka madarakani. Utawala wa sheria utarejea tanzania tena pale 28 octSubili master akifika hapo kwanza utajuta.
Baada ya kuongea ukweliKichwa maji kabisa wewe.
Damu ya Lissu inawasumbuaUkilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha...
Mbona wapo akina joti na akina msechu wanapewa viroba ili wapige fiestaMwaka huu hauna vijana wa kupewa viroba
Mwaka 2015 Mbowe meno yote yalikuwa nje alikuwa na furaha ukizingatia gari la pesa alikuwa pembeni yake.Jamaa zimekaa kama maharage yanayochemka! Yani mara hapa mara pale!
Kingine ni kwamba hawana hela! Hizi zinazotumika sasa hivi ni za yule beberu wake anaetoa vitamko mitandaoni...
Kwamba Salum Mwalim akasimame kwenye mkutano kama Samia! Sidhani kama atapata hata vichaaWapi ? na nani anayeweza kuitisha mikutano mikubwa huko chadema?
Na bangi imebaki kuvutwa na Lema na Tundu Lisu.Mbona wapo akina joti na akina msechu wanapewa viroba ili wapige fiesta
Mkawapandishia mshahara kila mwaka sio [emoji101]Ila si waalim walizikataa wakasema wao wanataka mishahara na wanaweza kujinunulia
Utawajua tu jobless mawazo Yao, wewe Kati ya kuletewa milion50 na kuletewa Umeme kijini kwenu kipi Bora?Nitatoa milioni 50 kwa kila kijiji. Na kila mwalimu atapata laptop 1.