Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ebu tueleze basi ilikuwaje siku ile? Ulikoseaje?Hizo story hazileti ugali mezani....
Kila familia ikianza kuelezea kifo cha ndugu yake si balaa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tueleze basi ilikuwaje siku ile? Ulikoseaje?Hizo story hazileti ugali mezani....
Kila familia ikianza kuelezea kifo cha ndugu yake si balaa??
Mkuu mpaka sasa bado sijatoa mchango wangu, nipe namba tafadhali hawa fisiemu wanazinguaEndeleeni kuchukua fedha za wafanyabiashara maana umeshasema ni hulka ya ccm
Kama chadema aliweza kujiendesha bila pesa za mfanyabiashara kipindi cha nyuma iweje ashindwe sasa, kumbuka matibabu ya Lissu tulichanga, kesi ya akina Mbowe tulichanga na hata kampeni hizi bado tunachanga, hiyo ndio nguvu ya Umma
Ebu tueleze basi ilikuwaje siku ile? Ulikoseaje?Hizo story hazileti ugali mezani....
Kila familia ikianza kuelezea kifo cha ndugu yake si balaa??
Hiyo hapoMkuu mpaka sasa bado sijatoa mchango wangu, nipe namba tafadhali hawa fisiemu wanazingua
Nipe namba nitume sasa hivi, jiwe hafai na hajawahi kufaaaKuna ile namba ya John Mrema na ile ya M4C
Hakuna mtu wa kumakamata huyo mtu wenu ndio maana unaona alipofika tu akaanza kuhangaika akamatwe ili yule beberu wake apate cha kusema.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Asante mkuu
Hizo ni past tens,Nitatoa milioni 50 kwa kila kijiji. Na kila mwalimu atapata laptop 1.
Karibu sanaAsante mkuu
babako akikwambia nakupa kiac flani afu hakukupa unasemajege mkuuNitatoa milioni 50 kwa kila kijiji. Na kila mwalimu atapata laptop 1.
Una maana ccm watumie polisi,jeshi,jeshi la akiba,uhamiaji na watu wasiojulikanaMnataka uwanja uwe Sawa kvip , kila mtu atumie resources alizo nazo ,
Hela sio yako, yakuwashia nini, wewe kaendelee kukusanya michango toka kwa wafanya biashara sisi tuache kabisaaaHawa ndio wana mpango wa kusamehe kodi kweli???
Sema kwa nini mnachangisha masikini wakati manasema wamechoshwa na serikali badala ya nyie kuwagaiwa wao pesa?Kumbe matajiri huwa wanawekeza kwa ccm kwa kuwa inalipa, sasa huwa mnawapa nini hao matajiri in return?
Halafu mwenyekiti wenu anajitapa kwamba atawakomesha mafisadi na wala rushwa wakati mafisadi ndio wanaoendesha kampeni za ccm na watoa rushwa wakubwa ni wanachama wa ccm
Mpaka sasa mahakama ya mafisadi haijawahi kumuhukumu mtu hata mmoja, hamuoni kama mnatia aibu?
Kwani ruzuku mlipeleka wapi?Una maana ccm watumie polisi,jeshi,jeshi la akiba,uhamiaji na watu wasiojulikana
Huwa sijibu upuuzi kama huu, hata mtoto wa grad one anaelewa kwa nini chandema wanachangisha hela...safari ya mabadiliko kuiondoa serikali dhalimu madarakani, kila mwananchi mwenye nia anaichangiaSema kwa nini mnachangisha masikini wakati manasema wamechoshwa na serikali badala ya nyie kuwagaiwa wao pesa?
Subili master akifika hapo kwanza utajuta.Hii aliitisha yesu wa chato?View attachment 1557495
Sasa mumewaongezea mishahara kiasi gani?Ila si waalim walizikataa wakasema wao wanataka mishahara na wanaweza kujinunulia