Uchaguzi 2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

Uchaguzi 2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

Lissu wakimbizeeeeeeeeeeeeeee walidhania watatu impress na mandege yao...wamekuta sivyo..wanahangaika..
Na anawakimbiza balaa walijua ni mteremko MUNGU atimize unabii huu jameni
IMG_20200828_203405.jpeg
 
Kwa mtizamo wako unafikiri kwamba hakuna mahali pengine Chadema wanafanya mikutano mpaka lissu awepo? Mikutano wanayofanya CCM hata Chadema inafanyika. Kaa kwa kutulia alafu uje hata 29 oct usimulie vizuri kuanguka kwenu katika uchaguzi mkuu 2020.
Jiwe ataandika historia mpya ya kuangukiwa na jumba bovu la ccm
 
Mataga mlianza kwa kutabiri kuwa Lissu hatorudi kutoka Belgium
Mkatabiri akitua tu Airport atakamatwa na PoliCCM
Mkatabiri kuwa jina lake litaenguliwa
Mkatabiri mikutano ya Lissu itakosa kabisa wahudhuriaji

Inshort mataga mmeanza kuhara damu.
Dysentery na kipindupindu kama yote.
 
Jamaa zimekaa kama maharage yanayochemka! Yani mara hapa mara pale!

Kingine ni kwamba hawana hela! Hizi zinazotumika sasa hivi ni za yule beberu wake anaetoa vitamko mitandaoni.

Kingine kampeni siyo kesi za MIGA,

Cha mwisho Mbowe mwaka huu hana furaha kabisa maana uchaguzi huu hajapiga hela kama kawaida yake ya miaka iliyopita. Yani Lisu kwa Mbowe siyo asset kabisa.
Wewe jiandae kuhamia kwenu Burundi
 
Umeanza kufuatilia siasa lini?
Umeingia JF lini?
Maana usingenihoji kuhusu wafanyabiashara...
Kwa ufupi Utegemezi wa wafanyabiashara ilikuwa ni hulka ya CCM Mwaka 2015 kurudi nyuma ....ilipofika 2015 chadema ikaanza kuiga hulka hiyo...na walitegemea fedha zao kumuangusha JPM...Ikashindikana...na sasa wafanyabiashara wamewekewa mazingira ambayo hayahitaji mwanasiasa kukutisha.
Wewe ni chizi, mfanyabiashara gani atapiga kura kwa jiwe? Nipe mfano
 
Kufanya matendo ya kupiga watu kipindi hiki ni ngumu sana.

Maana umaarufu wa kuipiga Corona umetufanya kila mtu atutazame kwa jicho la tatu na tupo mtegoni.
Wahusika wenyewe wanalijua hilo.

Ila baada ya kipindi hiki kupigwa na vijembe vitarudi tu pale pale.

Labda uwe mtoto mdogo ukiacha mapenzi na mvuto wa pande yoyote ile.

Sasa hivi ni dhihaka na kejeli tu ndizo zinatanda.

Wanaachi wataamua kwa kila hatua hakuna haja ya kuwalazimisha maamuzi yao.
 
Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.

Hapo bado reserves....hazijaanza kazi.


Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.....

Aidha CHADEMA ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha kwani ni uwekezaji usiolipa.

WEKA KUMBUKUMBU
Ndio maana wamenuna
 
Nasikia unalaumiwa na wenzako kwa kukosea sana shabaha pale dodoma, hivi ulikoseaje?
Hizo story hazileti ugali mezani....
Kila familia ikianza kuelezea kifo cha ndugu yake si balaa??
 
Endeleeni kuchukua fedha za wafanyabiashara maana umeshasema ni hulka ya ccm

Kama chadema aliweza kujiendesha bila pesa za mfanyabiashara kipindi cha nyuma iweje ashindwe sasa, kumbuka matibabu ya Lissu tulichanga, kesi ya akina Mbowe tulichanga na hata kampeni hizi bado tunachanga, hiyo ndio nguvu ya Umma
Mkuu mpaka sasa bado sijatoa mchango wangu, nipe namba tafadhali hawa fisiemu wanazingua
 
Back
Top Bottom