MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Kuondoa stress ni pamoja na kujumuika.
Jumuikeni
Jumuikeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe matajiri huwa wanawekeza kwa ccm kwa kuwa inalipa, sasa huwa mnawapa nini hao matajiri in return?Ukilinganisha Mipangilio ya kampeni ya CCM na Chadema utaona ni namna gani Chadema wameelemewa.
CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa ,za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza.
Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga...Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.
Hapo bado reserves....hazijaanza kazi.
Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.....
Aidha Chadema ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha kwani ni uwekezaji usiolipa.
WEKA KUMBUKUMBU
Kama uwanja ungekuwa sawa sasa hivi shati za kijani zisingeonekana barabarani hata kwa torch
Ningekuwa Mimi JPM kura zingehesabiwa kwa wazi kabisa mbele ya watu kila kituo , cha msingi ulinzi uwepo wa kutosha ili kichaka wanachojifichia kila mwaka cha kuibiwa kura kichomwe Moto 😀😀, Lissu mweupe SanaHakuna mtu wa kumakamata huyo mtu wenu ndio maana unaona alipofika tu akaanza kuhangaika akamatwe ili yule beberu wake apate cha kusema.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Jee hiyo mishahara muliwapaIla si waalim walizikataa wakasema wao wanataka mishahara na wanaweza kujinunulia
Tuliza akili ndio ujibu posts zangu.Kumbe matajiri huwa wanawekeza kwa ccm kwa kuwa inalipa, sasa huwa mnawapa nini hao matajiri in return?
Halafu mwenyekiti wenu anajitapa kwamba atawakomesha mafisadi na wala rushwa wakati mafisadi ndio wanaoendesha kampeni za ccm na watoa rushwa wakubwa ni wanachama wa ccm
Mpaka sasa mahakama ya mafisadi haijawahi kumuhukumu mtu hata mmoja, hamuoni kama mnatia aibu?
Kabisa mkuu!Ningekuwa Mimi JPM kura zingehesabiwa kwa wazi kabisa mbele ya watu kila kituo , cha msingi ulinzi uwepo wa kutosha ili kichaka wanachojifichia kila mwaka cha kuibiwa kura kichomwe Moto [emoji3][emoji3], Lissu mweupe Sana
UMENIWAHI DAKIKA MOJA TU,nilikuwa namalizia kuandika post kama hii, nimeamua kuifuta na kukuunga mkono kwa maoni yako TRUE SAID MKUU 100%Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.
Hapo bado reserves....hazijaanza kazi.
Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.....
Aidha CHADEMA ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha kwani ni uwekezaji usiolipa.
WEKA KUMBUKUMBU
unafanaisha watu wanaotumia magari ya na facilities zote za serikali dhidi ya wanaotegemea michango ya wananchi wanyonge wanaotoa kwa moyo? kweki we mjinga sana.Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.
Hapo bado reserves....hazijaanza kazi.
Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.....
Aidha CHADEMA ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha kwani ni uwekezaji usiolipa.
WEKA KUMBUKUMBU
LB7 hufahamu kuwa vyombo vya habari vimetishwa na dikteta?Uwanja upi tena usio sawa chief?
Tuliwahi kuhoji hizi fedha zinaenda wapi wakatunanga sanaMbowe anazunguka naye shingo upande kwenye uzinduzi tu wa jimbo moja moja kwenye Kanda akishamaliza hapo anambwaga aendelee mwenyewe yeye atarudi jimboni kwake kupambana na hali yake
Hapo sasa Lisu kazi kwake na Salum Mwalimu wake
Taarifa zilizopo ni kuwa mbunge atakayemtaka Lisu aende kwake invoice inamsubiri.Amtumie kwanza mheshimiwa mgombea Lisu nauli na posho ili aende,asipotoa Lisu haendi sababu pesa hana na chama hakina!! Mbowe kaamua kuwatupia wagombea kila moja ajitwike Lisu kichwani anayemtaka akamfanyie kampeni kwake.Chama hakina mbeleko ya kuendelea kujitwika yeye Lisu si muda mrefu Lisu tutamuona akipaki gari ya kampeni kimya kimya akisubiri mialiko ya wagombea !!!
Sasa ndio watakumbuka waliyomuzomea Lijuakali kuwa ile michango uliyokuwa Mbowe ukikata madiwani na wabunge ukisema ni ya kampeni 2020 pesa iko wapi mbona tunatakiwa kumkodi hata mgombea uraisi kuja kwetu?
Ngoja waanze kukatana mitama hao watoa burudani. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukilinganisha mipangilio ya kampeni ya CCM na CHADEMA utaona ni namna gani CHADEMA wameelemewa. CCM inachanja mbuga kwa haraka sana na ndani ya siku moja CCM ina "Injini" Kubwa za kati na ndogo zinazoweza kuitisha mikutano na kujaza. Mfano wakati Magufuli yupo Shinyanga, Samia yupo Pwani huku Majaliwa akiwa Arusha.
Hapo bado reserves....hazijaanza kazi.
Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu badala yake CCM wamekuja na style ya kipekee yaani ni burudani...halafu ilani inasomwa laivu...halafu ni kituo kinachofuata.....
Aidha CHADEMA ipo hoi kifedha na sasa hakuna matajiri wa kuwachangia fedha kwani ni uwekezaji usiolipa.
WEKA KUMBUKUMBU
Upeo wako ni zero kabisa, nimekuuliza what do you really pay those business tycoons in return baada ya uchaguzi?Tuliza akili ndio ujibu posts zangu.
Mwaka 2015 mlipata fedha za wafanyabiashara wachache wakiamini lowassa angeshinda mwaka huu hakuna mfanyabiashara atakayeweza kujitoa ufahamu kumsupport lissu kwani hauziki kama mgombea urais.
Pili mlitegemea fedha za wahisani ambao nao wapo hoi kwa covid 19 ...
Hii aliitisha yesu wa chato?Wapi ? na nani anayeweza kuitisha mikutano mikubwa huko chadema?
TBCccm Ni halali yao kufukuzwa Kama mbwaMmefukuza vyombo vya habari na clips zipo