Ongezea Abdisalom Kibanda kutobolewa jicho,nadhani mtoa mada ni mtoto!Uhuru wa habari wa awamu ya nne ulikuwa kwa baadhi ya watu lakini wengine walisulubiwa kisirisiri !
Na wengine walidhalilishwa !!
Dr Ulimboka
Mwangosi !
To mention the few. !
Ndio ujue sasa bado watanzania ni wanafiki bado wanashangilia na kulike huu zi wakikumahuu ndio uzi wa kipuuzi tokea nijiungue jf.
Umetumia mat*ko kuandikaSorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.
Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.
Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.
Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.
Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.
Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?
Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Uchaguzi umekaribia hakuna cha maana walichofanya zaidi ya miradi aliyoicha MagufuliMkuu machalii wana chuki Kali sana kwa jamaa,walianza na pambio mama alivyoingia mambo yanaenda alijojo wanatafuta chuki ziende kwa wasiye mpenda! Hii ni mbaya sana.
Hili jamaa halina akili kama machine zilialibika kipindi cha Magufuli mbona matatizo ya umeme hayakuwepoNaona wewe ndio akili yako nyepesi kabisa. Sasa kama machine hazikufanyiwa service kwa wakati, na zimeshaharibika, unadhani kinachohitajika sasa ni service au kununua mashine mya? Umewahi kumiliki mashine yoyote inayohitaji regular service eg gari?
Huo ndiyo ukweli ila kuutambua yakubidi uwe na akili za ukweli. Yule Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zao. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa MagufuliSorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.
Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.
Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.
Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.
Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.
Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?
Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Kuacha miradi iliyo chini ya 30% bila kumaliza ni sawa na kuwa umefanya ZERO tu. Kubali kuwa Samia ameimaliza kinyume na Magufuli alivyoacha ku-implement miradi ya Kikwette kama ule wa Bagamoyo.Uchaguzi umekaribia hakuna cha maana walichofanya zaidi ya miradi aliyoicha Magufuli
Wanatafuta wa kumuangushia hili jumba mbovu wameona ni marehemu
Ma+viKuacha miradi iliyo chini ya 30% bila kumaliza ni sawa na kuwa umefanya ZERO tu. Kubali kuwa Samia ameimaliza kinyume na Magufuli alivyoacha ku-implement miradi ya Kikwette kama ule wa Bagamoyo.
Je ingekuwaje kama Samia asingemaliza na kuanza mipya ya kwake? Ingekuwa nchi ya HOVYO
Regretfully, you have adopted the mannerisms of someone who lacks common sense by disparaging and defaming anyone who disagree with you. I'm sorry to say that.Huna hoja,Jamaa anajadili issues nyie na jamaa yako kilaza mnajadili personalities.
Unakuwa kama ‘artificial intelligence’ (AI) uwezo wa kufanya tathmini unaishia kwenye programmed algorithms nje ya hapo uwezi reason given other factors.
Yaani karibu miaka minne baadae bado unalaumu marehemu
Ndugu na bado kinachoendelea sio bahati mbaya ni uwezo mdogo wa raisi na team yake; the worst is yet to come.
Hakuna nchi inaendeshwa kama Tanzania ikapiga hatua, uongozi ni science na ushahidi upo wazi it will never work kwa style ya uongozi wa huyo mama.
Wewe utakuwa mtu mjinga tu si vinginevyo.Umetumia mat*ko kuandika
Wewe kama unashindwa kuona hili akili zako hazipo vizuri na nyie ndio misukule ya Magufuli, ipo mingi nchi hii.Akili zako ziko kwenye kalio
Mjinga ni Baba yako alituleta toto jinga na pumba kama wewe hizo shawahawa zake bora angepiga punyeto akamwaga chooni kuliko alivyotuletea shida hiiWewe utakuwa mtu mjinga tu si vinginevyo.
Du nimekutana na zu-zu leo, achana na Jamii Forum kabisa nakushauri wee endelea huko vijiweni kunakufaa zaidi mkuu.Mjinga ni Baba yako alituleta toto jinga na pumba kama wewe hizo shawahawa zake bora angepiga punyeto akamwaga chooni kuliko alivyotuletea shida hii
Mavi ni wewe mwenyewe usiye na alili ya kuchambua. Magufuli alikuwa anatengeneza nchi ya hovyo. Tungekuwa sawa na Yemen au Zimbabwe.Ma+vi
Magufuli ndio shujaa wa Tanzania
Ndani ya miaka mitano kafanya mambo makubwa. Sasa hivi nchi haieleweki tunaenda wapi laiti angemaliza tungekuwa mbali
Tulikuwa tulishaanza kuwapita Kenya kiuchumi but kwa sasa ndio basi tena labda tuje tupate mzarendo wa kweli tena kama Magufuli
Nyie mliokuwa wapiga dili na vyeti feki mliisoma namba
Mkuu Mayor Quimby salam kwako.
Yamkini mkuu unajua mengi, naomba ikikupendeza utueleze udhaifu wa hoja alizowasilisha Mkuu fazili na pia udhaifu wa Uongozi wa Mh Rais Samia Suluhu Hassani kwa mtizamo wa Ki-Science kama ulivyosema hapo juu.
Ubarikiwe
Ahsante
Ila nahisi hayo matatizo ni konki sana mwaka wa 3 hu Sasa serikali yako pendwa inashindwa kuyatatua mnabaki mnalilia lia tuSorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.