Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.

Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.

Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.

Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.

Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?

Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Umetumia mat*ko kuandika
 
Mkuu machalii wana chuki Kali sana kwa jamaa,walianza na pambio mama alivyoingia mambo yanaenda alijojo wanatafuta chuki ziende kwa wasiye mpenda! Hii ni mbaya sana.
Uchaguzi umekaribia hakuna cha maana walichofanya zaidi ya miradi aliyoicha Magufuli
Wanatafuta wa kumuangushia hili jumba mbovu wameona ni marehemu
 
Naona wewe ndio akili yako nyepesi kabisa. Sasa kama machine hazikufanyiwa service kwa wakati, na zimeshaharibika, unadhani kinachohitajika sasa ni service au kununua mashine mya? Umewahi kumiliki mashine yoyote inayohitaji regular service eg gari?
Hili jamaa halina akili kama machine zilialibika kipindi cha Magufuli mbona matatizo ya umeme hayakuwepo
Machine ikifa mtambo unafanyaje kazi sasa?
Si nchi tungekuwa giza
 
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.

Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.

Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.

Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.

Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?

Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Huo ndiyo ukweli ila kuutambua yakubidi uwe na akili za ukweli. Yule Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zao. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
 
Uchaguzi umekaribia hakuna cha maana walichofanya zaidi ya miradi aliyoicha Magufuli
Wanatafuta wa kumuangushia hili jumba mbovu wameona ni marehemu
Kuacha miradi iliyo chini ya 30% bila kumaliza ni sawa na kuwa umefanya ZERO tu. Kubali kuwa Samia ameimaliza kinyume na Magufuli alivyoacha ku-implement miradi ya Kikwette kama ule wa Bagamoyo.

Je ingekuwaje kama Samia asingemaliza na kuanza mipya ya kwake? Ingekuwa nchi ya HOVYO
 
Ma+vi
Magufuli ndio shujaa wa Tanzania
Ndani ya miaka mitano kafanya mambo makubwa. Sasa hivi nchi haieleweki tunaenda wapi laiti angemaliza tungekuwa mbali
Tulikuwa tulishaanza kuwapita Kenya kiuchumi but kwa sasa ndio basi tena labda tuje tupate mzarendo wa kweli tena kama Magufuli
Nyie mliokuwa wapiga dili na vyeti feki mliisoma namba
 
Huna hoja,Jamaa anajadili issues nyie na jamaa yako kilaza mnajadili personalities.
Regretfully, you have adopted the mannerisms of someone who lacks common sense by disparaging and defaming anyone who disagree with you. I'm sorry to say that.

Ova
 
Mf mdogo tu, hata uchawa na kumsujudu rais ilianza awamu ya 5. Magu akaitwa Mh. Mungu. Mwanri ataelekeza Mungu amshukuru JPM kwa utendaji wake. Rubish kabisa
 
Unakuwa kama ‘artificial intelligence’ (AI) uwezo wa kufanya tathmini unaishia kwenye programmed algorithms nje ya hapo uwezi reason given other factors.

Yaani karibu miaka minne baadae bado unalaumu marehemu

Ndugu na bado kinachoendelea sio bahati mbaya ni uwezo mdogo wa raisi na team yake; the worst is yet to come.

Hakuna nchi inaendeshwa kama Tanzania ikapiga hatua, uongozi ni science na ushahidi upo wazi it will never work kwa style ya uongozi wa huyo mama.
Mkuu Mayor Quimby salam kwako.
Yamkini mkuu unajua mengi, naomba ikikupendeza utueleze udhaifu wa hoja alizowasilisha Mkuu fazili na pia udhaifu wa Uongozi wa Mh Rais Samia Suluhu Hassani kwa mtizamo wa Ki-Science kama ulivyosema hapo juu.
Ubarikiwe
Ahsante
 
Magufuli amefariki tangu 03/2021,
Sukari imeadimika au haipo kuanzia 01-02/2024,

Napata shida ni kwa jinsi gani Magufuli anahusika, naomba nisadiwe tafadhali…
 
Wewe utakuwa mtu mjinga tu si vinginevyo.
Mjinga ni Baba yako alituleta toto jinga na pumba kama wewe hizo shawahawa zake bora angepiga punyeto akamwaga chooni kuliko alivyotuletea shida hii
 
Du nimekutana na zu-zu leo, achana na Jamii Forum kabisa nakushauri wee endelea huko vijiweni kunakufaa zaidi mkuu.
 
Ma+vi
Magufuli ndio shujaa wa Tanzania
Ndani ya miaka mitano kafanya mambo makubwa. Sasa hivi nchi haieleweki tunaenda wapi laiti angemaliza tungekuwa mbali
Tulikuwa tulishaanza kuwapita Kenya kiuchumi but kwa sasa ndio basi tena labda tuje tupate mzarendo wa kweli tena kama Magufuli
Nyie mliokuwa wapiga dili na vyeti feki mliisoma namba
Mavi ni wewe mwenyewe usiye na alili ya kuchambua. Magufuli alikuwa anatengeneza nchi ya hovyo. Tungekuwa sawa na Yemen au Zimbabwe.
 
Mkuu Mayor Quimby salam kwako.
Yamkini mkuu unajua mengi, naomba ikikupendeza utueleze udhaifu wa hoja alizowasilisha Mkuu fazili na pia udhaifu wa Uongozi wa Mh Rais Samia Suluhu Hassani kwa mtizamo wa Ki-Science kama ulivyosema hapo juu.
Ubarikiwe
Ahsante
608A46E6-A8A8-40E0-A558-47F4C5EFA034.jpeg

Kwanza kabisa mleta mada hana hoja vitu alivyoandika ni vya kujitungia tu havina backed evidence.

Magufuli kafariki reserve ya dollar ni kubwa bank kuu kuwai kutokea katika historia ya Tanzania, umeme wa uhakika kwa miaka mingi mfulululizo katika historia ya Tanzania na tatizo la upungufu wa sukari serikali ilikuwa inapunguza uagizaji kila mwaka kwa mikakati ya Magufuli, ‘bodi ya sukari’ wenyewe wamelisema hilo plan ilianza 2015/16.

Sasa kusema huyo mtu ana hoja za kujibiwa kwa mambo aliyojitungia ambayo yamekosa ata common-sense let alone simple logical. Kutaka ajibiwe even with my low IQ that’s an ‘insult to my intelligence’ unaomba watu wajibu uongo ambao kwa akili ya kawaida tu auminiki.

Sasa huko kwa ‘bi-tozo’ kuandika inabidi mtu afanye evaluation ya mambo luluki kwanini awezi fanikiwa with eclectic arguments za organisation management, politics, risk management, strategic planning, change management, leadership; to name a few. Na hayo yote yana sub-sects zake ambazo unique to the current political environment, ili ueleze kwanini tupo hapo.

Well hiyo kazi better left to a management consultant who will demand compensation before embarking on that mission. That is not the task of forum contributors.

Moreover JF inapitiwa na watu wengi unapokuwa analytical hata usipoeleweka humu elewa kuna mijitu huko kwenye strategic planning za serikali inawagusa na kuona mapungufu yao. Mfano not long ago Issue ya sukari kuna post niliweka humu nikiwakosoa body ya sukari ina maana hawana buffer stock ya kuzingatia lead time ya kuagiza, juzi kwenye hoja zao Ikulu wanadai ni kawaida yao kuwa na buffer stock (inventory ya miezi miwili). Sasa logicalally ingekuwa kweli matatizo ya sukari yasingeanza toka mwaka jana baada ya mvua za so called El-Nino, why so it’s a long story.

Heck hata hizo mvua za elnino si ajabu ilo neno nilikiweka kichwani mwao after I mentioned early in the year 2023 ule sio mwaka wa kukatika umeme maana kuna mvua za elnino way bay before TMA started using it.
 
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.

Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.

Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.

Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.

Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?

Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Ila nahisi hayo matatizo ni konki sana mwaka wa 3 hu Sasa serikali yako pendwa inashindwa kuyatatua mnabaki mnalilia lia tu

Au kifo Cha Magufuli ndio mmeona kichaka Cha kuficha udhaifu wa viongozi wenu vilaza

Manyuzi alipoingia alisema Kwa Sasa umeme unakatika Kwa sababu tunakarabati mitambo Hadi anaondoka janga ndio limezidi Sasa sijui alimaliza huo ukarabati au hajamaliza Hadi alipoondoka

Mama anapigwa sana watu Kila siku wanachota tu pesa za kukarabati mitambo nao huo Kwa Sasa ndio mladi wa vigogo

Wewe kaa tu na ujinga wako
 
Hii nchi vichaa wanazidi kuongezeka. Unamsingizia mtu aliyefariki 3 years ago? You must be a good insane.
 
Back
Top Bottom