Achana na chawa, wanaitwa "wanaomsemea mama". Wako kwenye ajira yao rasmi, ukibishana nao, maana yake na wewe uache shughuli zako UKIJUA kabisa yeye anapambania TUMBO, wewe unapambania KWELI.Magufuli ndio alikuwa anafanya kazi Tanesco?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na chawa, wanaitwa "wanaomsemea mama". Wako kwenye ajira yao rasmi, ukibishana nao, maana yake na wewe uache shughuli zako UKIJUA kabisa yeye anapambania TUMBO, wewe unapambania KWELI.Magufuli ndio alikuwa anafanya kazi Tanesco?
Chawa haohao ndio wanashangilia kuwashwa kwa bwawa la Mwl Nyerere na kuongezeka kwa umemeAchana na chawa, wanaitwa "wanaomsemea mama". Wako kwenye ajira yao rasmi, ukibishana nao, maana yake na wewe uache shughuli zako UKIJUA kabisa yeye anapambania TUMBO, wewe unapambania KWELI.
Hata wewe huwa unatabia ya kufanya hasty generalisation. Umewahi kutusi jamii yote ya Wasagara kwasababu binafsi za jamaa yako. Huna ushahidi wa kutosha kutuhumu kabila zima as if wewe na kabila lako ni watu wema. Badilika!Regretfully, you have adopted the mannerisms of someone who lacks common sense by disparaging and defaming anyone who disagree with you. I'm sorry to say that.
Ova
NAKAZIASorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.
Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.
Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.
Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.
Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.
Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?
Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu
Kwani unadhani haiko Firm?Kama mkuu aliona watu 80% kwenye serikali, kwa nini asibadilishe. Mbona amebadilisha wengi tu. Hakuna mtu wa Magufuli, inachotakiwa ni style tu ya uongozi na kuwa firm kwenye kila jambo. basi
Wewe ndio mjinga na taila sijawahi kuona toka nijiunge Jf sijui ulitumia mat*ko kuandika huu uzi wa kipuuziHicho ndio kipimo cha ujinga wako kajirekebishe upo chini mno.
Alikuwa kiongozi mpumbavu yuleMagufuli ndio alikuwa anafanya kazi Tanesco?
Najua kinakuuma sana kuona SGR na Bwawa la Nyerere vikichanga mbuga.Alikuwa kiongozi mpumbavu yule
Mm silambi asali popote. Nakula jasho langu. Niumie nn wakati naliipa kodiNajua kinakuuma sana kuona SGR na Bwawa la Nyerere vikichanga mbuga.
Wewe na akina janurary wako mbaki kulamba asali tu.
Mama kaingia mitini na bei gani?😂 ili tueweze ku compare nani mwizi zaidi. Aliekwapua 1.5T aliweza ku combat changamoto za kijamii by almost 80% huyu mnaemsifia yeye amefanya lipi zaidi ya mtangulizi?Kuna mtu alikua fisadi kama magufuli
Magufuli alishaingia mitini na trillion 1.5 kwa mara moja haijawah tokea uwizi mkubwa namna hiyo
Sijawahi kuwa chawaMkuu yeye kuwa chawa wa Mama kama unavyo sema, kuna shida gani? Mbona wewe unajipambanua wazi kuwa ni chawa wa marehemu Mwendazake na hakuna anayekuzodoa??
Usijione wewe ni chawa wa hadhi ya juu! Uchawa ni uchafu. Nakushangaa unashindania uchafu!
Ubaya huzidiana huyu mwanamke amezidiMama kaingia mitini na bei gani?😂 ili tueweze ku compare nani mwizi zaidi. Aliekwapua 1.5T aliweza ku combat changamoto za kijamii by almost 80% huyu mnaemsifia yeye amefanya lipi zaidi ya mtangulizi?
Kwenye umeme unaweza kuwa na point. Ila kwenye sukari na dollar msimtupie zigo Mwendazake.Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.
Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.
Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.
Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.
Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.
Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?
Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
-Shida ya sukari alivuruga Mwendazake Kwa kuweka sheria ya kuwapa wachache kuagizaSorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

umeishia darasa la ngapi-Shida ya sukari alivuruga Mwendazake Kwa kuweka sheria ya kuwapa wachache kuagiza
-Umeme alivuruga Mwendazake akasema gas imeuzwa na akaanzisha bwawa wakati hakuna miradi mingine ya buckup tunaposhbiria bwawa kukamilika
-Hata shida ya Dola ni vile watu wamekimbiza pesa Nje ya Nchi,Tzn haiaminiki Kwa sababu zile zile za kuwazingua burea de change nk
Ila Sasa zigo ataangishiwa aliyepo yule shujaa wao akitafutiwa huruma.
Nawakumbusha tuu ni Jiwe ndio alisema watu wanaficha Dola na hela akatishia kubadili Shilingi.Msingi wa shida zote ni Uongozi wa kipuuzi wa Jiwe [emoji23][emoji23]
Jikite kwenye hoja,usilete viojaumeishia darasa la ngapi
Weka ushahidi wa kimaandishi kwamba alipiga hizo 1.5t.Kuna mtu alikua fisadi kama magufuli
Magufuli alishaingia mitini na trillion 1.5 kwa mara moja haijawah tokea uwizi mkubwa namna hiyo
Ushahidi ulio wazi ni kumfukiza CAG,wewe unataka ushahidi gani zaidi ya huo wa kukiuka sheria?Weka ushahidi wa kimaandishi kwamba alipiga hizo 1.5t.