Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

Magufuli akitumia propagandists kutangaza eti Tanzania tupo uchumi wa kati; unajua uhalisia wa jambo hilo? Ulikuwa ni uongo wa Magufuli kama ilivyokuwa kusema tunajenga miundombinu kwa fedha za ndani kumbe tunakopa. Leo ndio ukweli unazidi kujulikana kwani dikteta hayupo na watu wanasema bila woga. Je elimu yako imekusaidia kuona makosa ya Magufuli au na wewe umedanganyika kama kama mjinga?
Wewe kweli chizi ndio maana nikasema kama wewe ndio unajiita msomi kwenu basi kwenu wote ni machizi
Kwan hiyo taarifa aliitoa Magufuli au world bank wenyewe ndio walitangaza july 2020 kwamba tanzania imefika uchumi wa kati hivi naona unatumia mat*ko kufikili wewe taila
 
Attachments

  • Screenshot_20240229-112113_Chrome.jpg
    Screenshot_20240229-112113_Chrome.jpg
    93.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240229-112021_Chrome.jpg
    Screenshot_20240229-112021_Chrome.jpg
    100.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240229-112243_Chrome.jpg
    Screenshot_20240229-112243_Chrome.jpg
    85.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240229-112213_Chrome.jpg
    Screenshot_20240229-112213_Chrome.jpg
    836.6 KB · Views: 1
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.

Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.

Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.

Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.

Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?

Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Tatizo la Kwanza umeme, umeanzia Awamu ya Tano.
Tatizo la pili sukari nalo awamu ya Tano.
Tatizo la tatu mikataba mibovu nalo limeanzia Awamu ya Tano.
Tatizo la nne la kutokusanya Kodi kwenye kuuza mafuta ya kuendesha Mipango nalo limeanzia Awamu ya Tano
Miradi kutomalizika mapema nalo limeanzia Awamu ya Tano
Barabara kujengwa chini ya kiwango nalo limeanzia Awamu ya Tano.
Katiba mbovu nalo limeanzia Awamu ya Tano
Kushuka Kwa nidhamu makazini nalo limeanzia Awamu ya Tano
 
Mengi ya hayo matatizo yameanzishwa na awamu ya tano na yapo mengine mengi sana hukuyaweka hapo.
 
Wewe kweli chizi ndio maana nikasema kama wewe ndio unajiita msomi kwenu basi kwenu wote ni machizi
Kwan hiyo taarifa aliitoa Magufuli au world bank wenyewe ndio walitangaza july 2020 kwamba tanzania imefika uchumi wa kati hivi naona unatumia mat*ko kufikili wewe taila
Elimu yako ndogo sana kuelewa dynamics za middle income status na nini kilifanyika hasa. Takwimu nyingi za uchumi wa Tanzania zilifujwa wakati wa Magufuli. Ubadhirifu mwingi wa serikali ukifichwa na Magufuli na ndio maana CAG aliyekuwepo Professor Assad aliondoshwa kinyemela na Magufuli kuficha uozo uliokuwepo.

Watanzania mmelishwa propaganda za kutosha na dikteta na hamjitambui kabisa! We level yako darasa ngapi mbona upo chini sana mkuu?
 
Wewe Chizi ndio una uelewa mdogo umesema Magufuli alitudanganya kwamba tupo uchumi wa kati nimekuletea data kwamba world bank ndio waliosema sasa ulichojibu hapo sijui umejibu kwa kutumia ma+vi yako
Hakuna mtanzania aliyedanganywa kazi alioifanya Magufuli inaonekana kwa macho
Kuhusu elimu yangu nilishakujibu kila saa unauliza nakujibu tena
Ukoo wenu wote hakuna anaenifikia kwa Elimu wewe taila
 
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.

Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.

Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.

Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.

Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?

Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
We pimbi unamatatizo ya akili, tatizo ni uwezo mdogo wa bibi yako, huoni aibu kumsingizia marehemu aliyekufa siku nyingi? Kweli inchi in kenge wengi wanaojifanya werevu.
 
Bila kumwonea kabisa Dr Samia kwenye hizi lawama ni kuwa 90% waliopo madarakani na kwenye nyenzo zote muhimu ni wale wale wa Magufuli.

Mfano mwingine ni Bunge[emoji23][emoji23][emoji23]
Raisi akiwa legelege, hakuna kitu kitakwenda, watendaji wa inchi hii ni kama maksai bila mikwaju hawalimi
 
Wewe Chizi ndio una uelewa mdogo umesema Magufuli alitudanganya kwamba tupo uchumi wa kati nimekuletea data kwamba world bank ndio waliosema sasa ulichojibu hapo sijui umejibu kwa kutumia ma+vi yako
Hakuna mtanzania aliyedanganywa kazi alioifanya Magufuli inaonekana kwa macho
Kuhusu elimu yangu nilishakujibu kila saa unauliza nakujibu tena
Ukoo wenu wote hakuna anaenifikia kwa Elimu wewe taila
La ngapi umefika mkuu manake elimu yako haioneshi zaidi ya form four ya wasiwasi. Ujue hizo takwimu sio msaafu wa kielelezo cha ukweli. Lobbying kubwa ilifanyika wakati wa Magufuli katika mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na hilo. Deni la Tanzania lilipanda wakati wa dikteta kutoka 35 trillion hadi 70 trillion! Na bado tuliambiwa hatikopi hela kwa mabeberu ni fedha za ndani! Umelogwa wewe kufikiri Magufuli alifanya vizuri sana kwa sababu unaangalia tu miundombinu aliyojenga huku akibomoa kwingine. Wastaafu sasa hawalipwi hela yao yote kwani hela nyingi ilikwenda kujenga madaraja kwa amri za kidikteta na sasa serkali ipo taabani. Sijui kama unaelewa kitu?
 
We pimbi unamatatizo ya akili, tatizo ni uwezo mdogo wa bibi yako, huoni aibu kumsingizia marehemu aliyekufa siku nyingi? Kweli inchi in kenge wengi wanaojifanya werevu.
Hata angekuwa amekufa 1700. Hutuachi kuchimba vyanzo vya matatizo yetu tunajifunza kutokana na historia, mbona hoja zako ni za ki-zuzu sana?
 
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.

Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.

Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.

Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.

Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?

Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Ndo maana umetukanwa sana ovyo.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ile mitambo ya kufua umeme sio kama hivi vigenerator vya mtaani ni custom made ni mikubwa mno na spea zake hazipo madukani hata huko Ulaya, unapaswa kuweka order utengenezewe. Hivyo hugharimu mabilioni ya fedha. Mingi ipo kwenye hali mbaya ndio maana ikiharibika huchukua muda mrefu kutengamaa.
Una akili timamu kweli?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ndio zile akili nyepesi nyepesi za watanzania kama nilivyoandika katika uzi wangu na sijui kama uliusoma au umerukia tu kukomenti

Watanzania sijui mnafikiri vipi. Unajua matatizo makubwa huanzia mbali sana. Kuna matatizo tunapata saa hii kwasababu ya vita ya Kagera, unajua hilo na huwa inakuwaje? Mmezoea sana kufikiri leo tu, mambo yanaanzia mbali sana. Kuna mambo Tanzania tunateseka hadi leo kwasababu ya siasa za Mwalimu za Ujamaa.
Samahani wewe ni Takataka
 
La ngapi umefika mkuu manake elimu yako haioneshi zaidi ya form four ya wasiwasi. Ujue hizo takwimu sio msaafu wa kielelezo cha ukweli. Lobbying kubwa ilifanyika wakati wa Magufuli katika mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na hilo. Deni la Tanzania lilipanda wakati wa dikteta kutoka 35 trillion hadi 70 trillion! Na bado tuliambiwa hatikopi hela kwa mabeberu ni fedha za ndani! Umelogwa wewe kufikiri Magufuli alifanya vizuri sana kwa sababu unaangalia tu miundombinu aliyojenga huku akibomoa kwingine. Wastaafu sasa hawalipwi hela yao yote kwani hela nyingi ilikwenda kujenga madaraja kwa amri za kidikteta na sasa serkali ipo taabani. Sijui kama unaelewa kitu?
Wewe ni Ma+vi
Nenda katibiwe wewe una wadudu kicwani pamoja na Ma+vi
 
Sa hivi yupo?
Una issue nae tushasema hapa fika Chato ukaongee nae.
Usitupigie makelele.
Umeme unakatika leo we Unamlaumu Magufuli si uchawi huo.
Wtf is wrong with you people?
Huo ni zaidi ya uchawi.
 
Kuna mtu alikua fisadi kama magufuli
Magufuli alishaingia mitini na trillion 1.5 kwa mara moja haijawah tokea uwizi mkubwa namna hiyo
Una ushahidi na hilo?
hizo hela ziko wapi mkewe asijue.
Watu wametambaa na trillion nane juzi tu hapo na wakasema hazitoshi ,
na bado mnalala giza.
 
Wewe ni Ma+vi
Nenda katibiwe wewe una wadudu kicwani pamoja na Ma+vi
Jambo nililogundua ni kwamba wote wanamsujudu Magufuli ni wale jinga jinga na nimeona sana kwako uwezo mdogo wa kujenga hoja na ujinga ndio tatizo lako. Jitahidi utoke katika hali hii duni.
 
Back
Top Bottom