Matatizo ya Engine za Toyota IST na suluhisho lake

Ahsante sasa hapo tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Well said
Engine zote za toyota zina changamoto hizo. NZ family, ZZ family na ni kubwa zaidi kwa AZ familyy. Toyota wana reccomend tufanye replacement za valve seal, piston ring, timing chain na belt kila km 150,000 - 200,000. Hii ni kama engine haijawa- abused, yaani kufanya kinyume na inavyotaka kama vike kuweka oil na atf isiyo yake, kutumia maji bomba badala ya coolant, mafuta sahii n.k
Ukizingatia utaenjoy sana toyota
 
Mtaalam
Nna shda kwenye gar yangu n Rav4 old model 1997
Oil ya injini inaisha kabsa nikisafr safari ndefu haionekan kwenye dip stick, hapo tatizo litakua wap msaada plz
 
Mie yangu ina 204,000 ila iko imara kama msumari wa zege.
 
Owner aliyekutangulia aliitunza vizuri.
Yeah yani mie ndio naona kama naichosha, nilipewa gari ikiwa safi na mpya sana. Nimeiburuza buruza kidogo has a few dents on the bottom parts za bumper na door fenders ila nikienda kuzi clear linarudi kwenye upya ule ule ni vile njia mbovu mbovu ndio zinazingua.
 
Unapoona engine inakula sana Oil katika hzo milleage-Fanya tathmini ya engine oil unayotumia (Kama una drive sana kukabiliana na tatizo kwa haraka-don't use 5W20 engine oil utaona difference unless gari ina tatizo lingine kubwa)
 
thank kwa elimu
 
Wadau nina ist ya 2006, juzi niliipiga sehemu radiator ikapinda ikagusa fan na kuzuia fan kuzunguka... Kulikopelekea motor kuungua.

Baada ya motor kuungua fan ikashndwa kuzunguka na mashine ikaanza kuheat.

Shida yangu ni kuwa nishaweka motor zingine kama 2 hivi na bado injini inaheat kwa kilometer chache tu hata 30 hazifiki na maji yanaisha kabisa.

Nb.
Rejeta haivuji, sasa hapa solution ipo vipi.
Je kuna aina ya moto special kwa hizi gari, au fan special,. Na ni wapi naweza nikaipata na kwa gharama gani maaana nateseka saana na nina safari. Ya kwenda bukoba week ijayo.
 
Cylinder head ikizingua gari inakuwa inaheat
 
Engine ndogo ni matatizo sana ,,kilometa laki nanusu ni ndogo sana kwenye cruiser 1hz , kitu imefika hadi kilometa laki nne ila bado mpya
 
Engine ndogo ni matatizo sana ,,kilometa laki nanusu ni ndogo sana kwenye cruiser 1hz , kitu imefika hadi kilometa laki nne ila bado mpya
Huo mchuma ni imara ila kwenye mbio mmmh 160km/h kufika kwa mbinde tofauti na IST.
 
Hivi hizo engine mbili za ist zinashare gearbox au ukiibadilisha kutoka 1300 to 1500 lazima ubadilishe na gearbox.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…