Matatizo ya Engine za Toyota IST na suluhisho lake


Cc: John7371
 

Cc: mpwisa
 

Cc: Eminentia
 

Nimeshafanya engene diagnosis zaidi ya mara mbili, scanner hazioni tatizo kwenye engene system. Scanners zinasema the system is OK... no fault!
 

Cc: mkuu Samcezar
 
Natafuta fundi mzuri wa engene za Toyota IST, jijini Mwanza.
 
Yaani mafundi wengi mtaani ni wababaishaji tu.

Kupata fundi mzuri mtaalamu imekuwa ngumu sana!
 
Hapo tatizo ni wewe mkuu wangu ........
 
1K = 1000

5K = 5000

Huo ufundi wa buku au buku tano sijauelewa.........!
 
Naombeni msaada wa DIAGRAM ya ist yenye engine ya 1nz fe na ile ya 2nz fe kwa mwenye nazo anisaidie wakuu nina shida nazo kwa mwenye nazo naomba

stoplight
 
Naona fundi unajitaftia ugali 😀😀 ila hii jf bana
 
Tangazo limekaa kitaalamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…