..........Hakuna duniani atakeyeishi milele.soon sote kila mmoja kwa nafasi yake,wakati wake na style yake ataenda kujionea tena kwa ulazima sio ombi,lazima kwamba Mungu yupo au hayupo?
Ni muda tu na hivi dunia sasaivi imejaa vurugu,maradhi yasiyo tiba na ajali zisizoisha basi tusipigiane sana kelele.
Wewe amini usiamini muache yule aamini ila itakapokujia action ujue ni namna gani utavyo-deal nayo.
Kiumbe mjinga mjinga huwezi hata kuijua nusu saa ijayo kitakupata kitu gani unakaa kusema hakuna anayekupangia mtiririko wa maisha yako?unashindwa hata kujua kwamba kesho utafukuzwa kazi japo ni kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako?punguani kabisa.
Usini-quote,wala sitahangaika kubishana na wewe!