Chanazi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2010
- 212
- 64
Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli!
Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa, habari zitafikishwa kama wewe ni Adui wa Mbunge na utachukiwa na kupigwa vita hadi ujute!
Madiwani hawana nguvu ya kuhoji, Morogoro ni Mji pekee wenye barabara za Tarura mbovu kupindukia katikati ya Mji!
Morogoro kuna Mapori makubwa kama pori la Magadu, St Peter Kilakala, StarCity na pori la Kihonda la magereza kwa kutaja kwa uchache, mapori haya yapo katikati ya Mji kilometers chache kutokea City Center na hayaendelezwi yamekia sehem hatari kwa maficho ya uharifu! Mbunge yupo hana habari Madiwani wapo hawasemi kitu!
Viwanda , maeneo ya biashara na maeneo mengine ya kiuchumi yame bakia nyuma sababu kubwa ni hawa wawakirishi wa wananchi kukosa meno, uweredi na uchungu kwa Huu Mji!
Kitu kikubwa Mbunge ana fanya ni kutoa msaada wa Usafiri na rambirambi ya Misiba hapo Waluguru katuweza kabisa !!
Tutafute wasemaji wenye Uchungu na huu Mji wetu, wawakilishi wazalendo kwa Mji wa Morogoro! Bila hivyo barabara hizi mbovu na mapori ya StarCity, Kihonda na Magadu vita tumaliza na Mbunge/Madiwani watakuja kutuzika bila aibu!