Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
ni huyo huyoHivi abood ndo huyu mwenye mabasi mekundu yaliyotapakaa Tanzania mzima? Au mwingine..nielewesheni jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni huyo huyoHivi abood ndo huyu mwenye mabasi mekundu yaliyotapakaa Tanzania mzima? Au mwingine..nielewesheni jamani
Matatizo hayo uliyoelezea ambayo unadai yapo huko Morogoro kiini chake siyo Mbunge wala siyo Madiwani, bali yametokana na Ubovu wa Serikali iliyopo kwa ujumla wake, matatizo kama hayo yapo pia kwenye miji mingine yote kabisa ya Tanzania, hayapo Morogoro Mjini peke yake. Mifumo ya Utawala na uendeshaji wa Serikali iliyopo haifai, ni mibovu na mibaya Sana. Hao Wabunge na Madiwani ni kanyaboya tu, HAWANA mamlaka yoyote yale katika kuendesha Serikali. Kikundi cha watu/Watawala wachache Sana kutoka kwa chama tawala ndio Wana mamlaka yote kabisa ya kuendesha nchi, Udikteta ndiyo kiini cha kuwepo kwa matatizo hayo. Utawala na Serikali iliyopo haifai, ni ya Kidikteta na wala haiwajibiki kwa Wananchi, that's why unaona kwamba matatizo hayo mengi hayawezi kwisha.Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli!
Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa, habari zitafikishwa kama wewe ni Adui wa Mbunge na utachukiwa na kupigwa vita hadi ujute!
Madiwani hawana nguvu ya kuhoji, Morogoro ni Mji pekee wenye barabara za Tarura mbovu kupindukia katikati ya Mji!
Morogoro kuna Mapori makubwa kama pori la Magadu, St Peter Kilakala, StarCity na pori la Kihonda la magereza kwa kutaja kwa uchache, mapori haya yapo katikati ya Mji kilometers chache kutokea City Center na hayaendelezwi yamekia sehem hatari kwa maficho ya uharifu! Mbunge yupo hana habari Madiwani wapo hawasemi kitu!
Viwanda , maeneo ya biashara na maeneo mengine ya kiuchumi yame bakia nyuma sababu kubwa ni hawa wawakirishi wa wananchi kukosa meno, uweredi na uchungu kwa Huu Mji!
Kitu kikubwa Mbunge ana fanya ni kutoa msaada wa Usafiri na rambirambi ya Misiba hapo Waluguru katuweza kabisa !!
Tutafute wasemaji wenye Uchungu na huu Mji wetu, wawakilishi wazalendo kwa Mji wa Morogoro! Bila hivyo barabara hizi mbovu na mapori ya StarCity, Kihonda na Magadu vita tumaliza na Mbunge/Madiwani watakuja kutuzika bila aibu!
Ila alichozungumza mtoa mada kina mashiko. Barabara nyingi za Mtaa ni kweli ni za vumbi! Wakati ukienda Iringa mjini, mambo ni tofauti kabisa.
Halafu yale mashamba ya mkonge nayo yangepangwa kitaalam, then yauzwe kwa wananchi wenye uwezo wa kujenga nyumba za kisasa. Haiwezekani Mji uzungukwe na mapori yasiyotumika au kuendelezwa.
Hebu na aorodheshe hayo matatizo tupate kuyajuaMji gani ambao matatizo yameisha? Gombea wewe Ili umalize matatizo
Kwa Babu Tale mambo ni 🔥 🔥Hebu na aorodheshe hayo matatizo tupate kuyajua
Wewe jamaa bhana!Kwailo la miti skuungi mkono acha mazingira tatzo lenu mnataka miji ya kwenu iwe kama dar mitaa kama temeke et ndy patakuwa pazr kama mzunguko wa pesa ipo wee kula ayo mengne n uchafuz wa hali ya hewa
Si heri wao (morogoro) ukifiwa mbunge anatoa gari na rambirambi. Mbunge gani mwingine Tanganyika hii anafanya hivyo?Mji gani ambao matatizo yameisha? Gombea wewe Ili umalize matatizo
Mkuu tuwekee CV zao tuwajueKwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli!
Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa, habari zitafikishwa kama wewe ni Adui wa Mbunge na utachukiwa na kupigwa vita hadi ujute!
Madiwani hawana nguvu ya kuhoji, Morogoro ni Mji pekee wenye barabara za Tarura mbovu kupindukia katikati ya Mji!
Morogoro kuna Mapori makubwa kama pori la Magadu, St Peter Kilakala, StarCity na pori la Kihonda la magereza kwa kutaja kwa uchache, mapori haya yapo katikati ya Mji kilometers chache kutokea City Center na hayaendelezwi yamekia sehem hatari kwa maficho ya uharifu! Mbunge yupo hana habari Madiwani wapo hawasemi kitu!
Viwanda , maeneo ya biashara na maeneo mengine ya kiuchumi yame bakia nyuma sababu kubwa ni hawa wawakirishi wa wananchi kukosa meno, uweredi na uchungu kwa Huu Mji!
Kitu kikubwa Mbunge ana fanya ni kutoa msaada wa Usafiri na rambirambi ya Misiba hapo Waluguru katuweza kabisa !!
Tutafute wasemaji wenye Uchungu na huu Mji wetu, wawakilishi wazalendo kwa Mji wa Morogoro! Bila hivyo barabara hizi mbovu na mapori ya StarCity, Kihonda na Magadu vita tumaliza na Mbunge/Madiwani watakuja kutuzika bila aibu!
Ndo yeye.Hivi abood ndo huyu mwenye mabasi mekundu yaliyotapakaa Tanzania mzima? Au mwingine..nielewesheni jamani