Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha....na pengine matatizo yakazidiKwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli! Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa, habari zitafikishwa kama wewe ni Adui wa Mbunge na utachukiwa na kupigwa vita hadi ujute!
Madiwani hawana nguvu ya kuhoji, Morogoro ni Mji pekee wenye barabara za Tarura mbovu kupindukia katikati ya Mji!
Morogoro kuna Mapori makubwa kama pori la Magadu, St Peter Kilakala, StarCity na pori la Kihonda la magereza kwa kutaja kwa uchache , mapori haya yapo katikati ya Mji kilometers chache kutokea City Center na hayaendelezwi yamekia sehem hatari kwa maficho ya uharifu! Mbunge yupo hana habari Madiwani wapo hawasemi kitu!
Viwanda , maeneo ya biashara na maeneo mengine ya kiuchumi yame bakia nyuma sababu kubwa ni hawa wawakirishi wa wananchi kukosa meno, uweredi na uchungu kwa Huu Mji!
Kitu kikubwa Mbunge ana fanya ni kutoa msaada wa Usafiri na rambirambi ya Misiba hapo Waluguru katuweza kabisa !!
Tutafute wasemaji wenye Uchungu na huu Mji wetu, wawakilishi wazalendo kwa Mji wa Morogoro ! Bila hivyo barabara hizi mbovu na mapori ya StarCity , Kihonda na Magadu vita tumaliza na Mbunge/Madiwani watakuja kutuzika bila aibu!
HahahaSisi Morogoro atuongezee mabasi ya kwenda kuzikia tu. Nyie wengine mtajijua. Tena akiahidi mabasi ya kuzikia yatakuwa Youtong, ubunge akae nap maisha yake yote
Kama vile ni vijijini wakati ni junction Muhimu.Zile barabara za mitaa ya msavu kwenye gest na hoteli nyingi zinatia aibu sana kwa wageni, na hapo serikali inasanya hotel levy kila mwezi
Labda sawa ungelitaka serikal ichukuwe hatua gan ya kuendeleza hzo sehemHakizungumzwi kuhusu uwepo wa miti, kinachozungumwa ni mapori, yaani chini ya miti hakusafishwi kuondoa vichaka na matawi ya chini, hebu nenda Sao Hill Iringa ukaone usafi wa mashamba ya miti.
Serikali ina fanya kazi kwa mfumo na umuhim (Priority) ni kazi ya Wabunge, Madiwani kujenga hoja ili maeneo yao yapewe kipaumbele kwenye miradi ya maendeleo!! Bila hivyo mnaonekana hamna vipaumbele wanapewa wenye navyo!!Labda sawa ungelitaka serikal ichukuwe hatua gan ya kuendeleza hzo sehem
Maeneo ya serikali kwa ajili ya upanuzi na maendeleo ya baadayeNdilo hilo, linaanzia Sua Apopo mpaka mesi ya Mzinga jeshini.
Hata hivyo kuisafisha misitu ni muhimu, ipo misitu mikubwa sana lakini ni misafi na unaweza ukapita bila wasiwasi.Maeneo ya serikali kwa ajili ya upanuzi na maendeleo ya baadaye
Leo Ijumaa ukiingia pale mjini kati utakutana na wabibi na wababu wenye hali duni mtaani wanaombaomba na baadhi kwa mbunge wanasubiri kupewa sarafuHuwezi kuridhika kuona mji ulio katikati ya miji mikubwa (Dar-Dodoma) kila siku unaendelea kudidimia ! Iringa ina chanja mbuga kwanini Moro izubae?
Leo Ijumaa ukiingia pale mjini kati utakutana na wabibi na wababu wenye hali duni mtaani wanaombaomba na baadhi kwa mbunge wanasubiri kupewa sarafuHuwezi kuridhika kuona mji ulio katikati ya miji mikubwa (Dar-Dodoma) kila siku unaendelea kudidimia ! Iringa ina chanja mbuga kwanini Moro izubae?
Atupe na basi la kwenda kugegeda waremboNyie si mlimchagua Abood ili awe anawapa mabasi yake kwenda kuzikia ndugu zenu wanaokufa kwa umasikini, sasa mnamlilia nani?
Hivi abood ndo huyu mwenye mabasi mekundu yaliyotapakaa Tanzania mzima? Au mwingine..nielewesheni jamaniMji gani ambao matatizo yameisha? Gombea wewe Ili umalize matatizo