Pre GE2025 Matatizo ya Morogoro Mjini hayataisha kama Mbunge ni Abood na Madiwani hawa wa kila kitu NDIO

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi Morogoro atuongezee mabasi ya kwenda kuzikia tu. Nyie wengine mtajijua. Tena akiahidi mabasi ya kuzikia yatakuwa Youtong, ubunge akae nap maisha yake yote
 
Hahaha....na pengine matatizo yakazidi
 
Zile barabara za mitaa ya msavu kwenye gest na hoteli nyingi zinatia aibu sana kwa wageni, na hapo serikali inasanya hotel levy kila mwezi
Kama vile ni vijijini wakati ni junction Muhimu.
 
Hatari sasa pata picha zile za barabarani kabisa ukiingia ndani ndani huko aibu kubwa !!
 
Hakizungumzwi kuhusu uwepo wa miti, kinachozungumwa ni mapori, yaani chini ya miti hakusafishwi kuondoa vichaka na matawi ya chini, hebu nenda Sao Hill Iringa ukaone usafi wa mashamba ya miti.
Labda sawa ungelitaka serikal ichukuwe hatua gan ya kuendeleza hzo sehem
 
Labda sawa ungelitaka serikal ichukuwe hatua gan ya kuendeleza hzo sehem
Serikali ina fanya kazi kwa mfumo na umuhim (Priority) ni kazi ya Wabunge, Madiwani kujenga hoja ili maeneo yao yapewe kipaumbele kwenye miradi ya maendeleo!! Bila hivyo mnaonekana hamna vipaumbele wanapewa wenye navyo!!
 
CCM Na Abood Watupishe Chap Mwaka Huu
Jiwe Kabla Hajafa Alimwambia Abood Asigombee Tena
Morogoro Eti Maji Ya Bomba Ni Anasa Kama Magendo
 
Huwezi kuridhika kuona mji ulio katikati ya miji mikubwa (Dar-Dodoma) kila siku unaendelea kudidimia ! Iringa ina chanja mbuga kwanini Moro izubae?
Leo Ijumaa ukiingia pale mjini kati utakutana na wabibi na wababu wenye hali duni mtaani wanaombaomba na baadhi kwa mbunge wanasubiri kupewa sarafu
 
Tatizo la kuamini hela za mtu ndio hilo,na pia wanaompa uongozi Abood ni makosa makubwa sana,yeye si akafanye biashara zake awaachie wengine uongozi!!?kwani lazima ashike vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…