Achana na hizo za bei rahisi.Mimi sio malaya ila kuna kutunukiwa na siku zote waswahili husema zawadi ni zawadi huwezi kataa zawadi utaitwa mjinga ndo maana naona nitumie kinga nahua natumia mchanganyiko mara NDUME, MSD, 3BOMBA nk hivyo nashindwa kujua nizipi zenye aleji sasa naomba ushauri kwa wale wanaojua mbaya na nzuri ili nijue zipi niache zipi nitumie

Tuachie wenye ndoa,hayo ma mzio hayatokukumbaKama natakiwa niache basi nataka kujua nani ataendelea kufanya
Sizifahamu hizi mimiBull condom
Sent from my Android phone
Me ndo maana navaa kondomWewe ni Ke au Me
Asante mkuuMkuu me naona ukifata ushauri wa kutumia kondom moja baada ya nyingine siyo sahh maana siyo njia sahh ya kufaham allergy yako me nakushauri nenda hospital kacheck utafaham mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi sijawahi kuzionaJaribu Lady Pepeta, Hutajuta.
Sent from Me, My self and I
atie papu mojaAtaishije sasa?
ndiyo mkuuYaani mpaka leo hii.. karne hii kuna watu wanatumia condom?
Yanini sasa?ndiyo mkuu
kupunnguza msuguanoYanini sasa?
Hata KE wanavaa ndugu wanazo specialMe ndo maana navaa kondom
Ke hawavai wanachomekaHata KE wanavaa ndugu wanazo special
Achana na hizo za bei rahisi.
Kamuulize mwenyewe.Yule jamaa huwa anatumia zipi?
Kinga ni bora kuliko maradhi,au mtoto asotarajiwa.Yaani mpaka leo hii.. karne hii kuna watu wanatumia condom?