Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

Ukifiatilia mwenendo wa Simba tokea usajili utagundua tu uhuni mtupu, angalia sajili zao yaan kusajili mchezaji wa milioni 400 inakuwa ishu, angalia suala la makocha kuanzia kwa kocha wa makipa, viungo, kocha msaidizi, kocha mkuu hakuna usiriazi kabisa. Kunakauli moja ilishawahi tolewa na kiongozi mmoja wa yanga kuwa kama Yanga isipokuwa na mgogoro ndani ya klabu Yao ni ngumu sana kuchukua ubingwa n kuwafunga. Naanza kuiamini taratiiibu
 
Jana Phiri kaumizwa mbele ya linesman rafu mbaya na linesman kakausha.huyo sako nadhani wanataka kumuua tu uwanjani
 
Hiyo kitu mnabwia sasa hivi inawaharibu ubongo
 
Ukiambiwa ulete ushahidi utaishia kukata mauno tu.
Hata kukata mauono nao ni ushahidi

Wachezaji wamefungwa goli nne afu ukiwacheki usoni wanacheka kuliko walioshinda

Hiyo ni indication kwamba nyie mnachukua points 3 sisi tunamkunja Benjamin Franlin
 
Wala Ngada acheni wivu,Yanga ni bora sana......hata nyie mkiambiwa mlete timu yenu Kwa Mkapa hamuwezi kukubali kirahisi
 
Referees kama Ahmed Arajiga, Florentina Zabron na Eli Sasii hawa wanapaswa kuchunguzwa kwa tabia zisizokuwa na maadili ya uchezeshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…