Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Ukifiatilia mwenendo wa Simba tokea usajili utagundua tu uhuni mtupu, angalia sajili zao yaan kusajili mchezaji wa milioni 400 inakuwa ishu, angalia suala la makocha kuanzia kwa kocha wa makipa, viungo, kocha msaidizi, kocha mkuu hakuna usiriazi kabisa. Kunakauli moja ilishawahi tolewa na kiongozi mmoja wa yanga kuwa kama Yanga isipokuwa na mgogoro ndani ya klabu Yao ni ngumu sana kuchukua ubingwa n kuwafunga. Naanza kuiamini taratiiibu