Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Barbara sijui barabara CEO must go. I said this before na nitaendelea kulikaziaIfikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Hata mwanafunz akifeli mtihani rahisi anaumia sanaMchezaji analia timu yake ikifungwa na simba,ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio mhamala ni ninini
We uto acha kumuonea wivu mtoto wa kikeBarbara sijui barabara CEO must go. I said this before na nitaendelea kulikazia
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Unateseka sana Yanga inaposhinda. Ulitakiwa pia uteseke na matokeo ya timu yako ya simba! Kwenye mechi na Mtibwa ikishinda 5-0, huku mwamuzi wa mchezo akitoa na kadi 2 kwa wachezaji wa Mtibwa.Hii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu,na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.
Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam ,mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu
Mhamala wa poda?Uliona mchezaji wa mtibwa anasmile?
Simba ina majeruhi wengi sababu wachezaji wanaambiwa kabisa ukimvunja Sako mhamala unasoma
Kwa hiyo hata wewe timu yako ilipofungwa kwenye Ngao ya Jamii msimu huu, ulilia?Mchezaji analia timu yake ikifungwa na simba,ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio mhamala ni ninini
Kama mashabiki wote tungekuwa hv mpira ungefika mbaliIfikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Hata kama, jamaa kaongea factHuyo ni uto mwenzako
Unateseka sana Yanga inaposhinda. Ulitakiwa pia uteseke na matokeo ya timu yako ya simba! Kwenye mechi na Mtibwa ikishinda 5-0, huku mwamuzi wa mchezo akitoa na kadi 2 kwa wachezaji wa Mtibwa.
Hao walipewa kadi sababu walitaka kuwaua wachezaji wa simbaUnateseka sana Yanga inaposhinda. Ulitakiwa pia uteseke na matokeo ya timu yako ya simba! Kwenye mechi na Mtibwa ikishinda 5-0, huku mwamuzi wa mchezo akitoa na kadi 2 kwa wachezaji wa Mtibwa.
Huwezi kuwa na timu yenye wachezaji kama
Kibu
Kyombo
Kapama
Okwa
Akpan
Afu uifunge timu wachezaji wa timu pinzani wasilie.
Ngada fc🤣🤣
Huwezi kuwa na timu yenye wachezaji kama
Kibu
Kyombo
Kapama
Okwa
Akpan
Afu uifunge timu wachezaji wa timu pinzani wasilie.
Ngada fc🤣🤣
BigirimanaHuwezi kuwa na timu yenye wachezaji kama
Kibu
Kyombo
Kapama
Okwa
Akpan
Afu uifunge timu wachezaji wa timu pinzani wasilie.
Ngada fc🤣🤣
Hii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu,na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.
Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam ,mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu
Kwa hiyo Yanga inahonga Marefa au inahonga timu pinzani, mnatuchanganya aseengoja kwanza wamalizane wauza ngada