Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

Ifikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Barbara sijui barabara CEO must go. I said this before na nitaendelea kulikazia

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Singida s tawi la yanga,[emoji2][emoji2]wachezaj waliambiwa ukijifany unajua unakatwa mshahara
 
Hii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu,na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.

Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam ,mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu
Unateseka sana Yanga inaposhinda. Ulitakiwa pia uteseke na matokeo ya timu yako ya simba! Kwenye mechi na Mtibwa ikishinda 5-0, huku mwamuzi wa mchezo akitoa na kadi 2 kwa wachezaji wa Mtibwa.
 
Na hasa match dhidi club africain ya Tunisia.
Pia dhidi Simba Ngao ya hisani haiwezekani Simba itangulie afu wasazishe na kushinda itakuwa wameshilikiana na kocha wetu magolikipa kutilia heroin Manula na inonga.
 
Unateseka sana Yanga inaposhinda. Ulitakiwa pia uteseke na matokeo ya timu yako ya simba! Kwenye mechi na Mtibwa ikishinda 5-0, huku mwamuzi wa mchezo akitoa na kadi 2 kwa wachezaji wa Mtibwa.
Unateseka sana Yanga inaposhinda. Ulitakiwa pia uteseke na matokeo ya timu yako ya simba! Kwenye mechi na Mtibwa ikishinda 5-0, huku mwamuzi wa mchezo akitoa na kadi 2 kwa wachezaji wa Mtibwa.
Hao walipewa kadi sababu walitaka kuwaua wachezaji wa simba
 
Huwezi kuwa na timu yenye wachezaji kama
Kibu
Kyombo
Kapama
Okwa
Akpan
Afu uifunge timu wachezaji wa timu pinzani wasilie.

Ngada fc🤣🤣

Bigirimana
Kisinda
Makambo
Mwanyeto
 
Hii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu,na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.

Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam ,mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu

Sisi wengine tupo kwenye world cup sasa hivi! Hayo mengine ya ligi ya wakulima hatuyajui!
 
Back
Top Bottom