Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

Kwahiyo simba ni maskini wa kutupwa yanga ni matajili maana mnalalamika kijinga na kitoto
 
Kipindi watu wako wanasajili wachezaji wa maana nyie mko bize kuwaponda wamepigwa .

Wewe katikati ya kiwanja umewekeaa Bangala , Aucho, Feisal alafu wewe unamweka ndemla unategemea nini?

Ukitaka kuwadhibiti Yanga paki basi ukifunguka utapigwa tu.
 
HV muharami anafikishwa lini mahakamani ,
 
Nguruwe pori anavyoeneza propaganda za kuichafua simba hawawezi ongelea hlo.
 
Na hapo bado Aziz K hakuwepo wakati Wenzetu wapo serious kusajili sisi tunafukuza makocha

Japo mimi ni Simba ila hii Yanga itafungwa na mahakama tu kwa hiyo hata siye Simba vile vinu viwili vya mayele takukuru waingilie kati
Nakuwasajili kina muharami
 
Ngada fc aka mbumbumbu mtaharisha sana mwaka huu maana mahogo tunayowapa ni makubwa coast aliifunga yanga nyie ngada fc wakampiga nane, vipi man city naye awalalamikie FA dhidi ya arsenal? Maana Fulham alimkazia arsenal akamweka nyingi tu Brentford naye juzi kamuweka man city arsenal alijilia kiulaaini, lakini sio kosa lako na ngada zimezidi
 
Huwezi kuwa na timu yenye wachezaji kama
Kibu
Kyombo
Kapama
Okwa
Akpan
Afu uifunge timu wachezaji wa timu pinzani wasilie.

Ngada fc🤣🤣
Tulieni, waongopeeni wengine wasio wajua

Sisi tunawajua, msiwehuke na ushindi wa leo mkajisahaulisha tabia yenu

Ngoja mashindano ya CAF yaanze naona mmeanza kuridhika na mwili umeanza kuja
 
Ukiona mechi imeisha na waliofungwa wamefurahi ni kwamba wameukubali uwezo wa mpinzani, na ukiona wanalia ni kwamba wanahuzunika kufungwa na timu ambayo walijua wanaimudu.

Tulicheza na algeria hivi karibuni uliona mchezaji wa stars analia? Tulipigwa goli 6 na Brazil hapa uliona mchezaji analia?
 
Mi nadhani zianze kuchunguzwa Ngao za hisani mbili zilizopita. Simba iliuza zile mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…