ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa hiyo Kagere atakatwa mshahara?Singida s tawi la yanga,[emoji2][emoji2]wachezaj waliambiwa ukijifany unajua unakatwa mshahara
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Kagere atakatwa mshahara?Singida s tawi la yanga,[emoji2][emoji2]wachezaj waliambiwa ukijifany unajua unakatwa mshahara
Kwahiyo simba ni maskini wa kutupwa yanga ni matajili maana mnalalamika kijinga na kitotoHii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu,na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.
Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam ,mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu
HV muharami anafikishwa lini mahakamani ,Hii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu,na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.
Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam ,mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu
Nakuwasajili kina muharamiNa hapo bado Aziz K hakuwepo wakati Wenzetu wapo serious kusajili sisi tunafukuza makocha
Japo mimi ni Simba ila hii Yanga itafungwa na mahakama tu kwa hiyo hata siye Simba vile vinu viwili vya mayele takukuru waingilie kati
A.K.A mapowdeeeeer FC 😂😂😂
Kwasababu Yanga wamepata ushindi wa point 3 kwa goli 4?Barbara sijui barabara CEO must go. I said this before na nitaendelea kulikazia
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Tulieni, waongopeeni wengine wasio wajuaHuwezi kuwa na timu yenye wachezaji kama
Kibu
Kyombo
Kapama
Okwa
Akpan
Afu uifunge timu wachezaji wa timu pinzani wasilie.
Ngada fc🤣🤣
Jifunze kuandika kwanzaMchezaji analia timu yake ikifungwa na simba,ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio mhamala ni ninini
Ukiona mechi imeisha na waliofungwa wamefurahi ni kwamba wameukubali uwezo wa mpinzani, na ukiona wanalia ni kwamba wanahuzunika kufungwa na timu ambayo walijua wanaimudu.Hii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.
Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu