Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

Hao walipewa kadi sababu walitaka kuwaua wachezaji wa simba
Mechi hiyohiyo Sakho nae alitaka kumuua mwenzie mbona naye hakupewa Red?? Ngao ya jamii Inonga alitaka kumuua Sure boy, Coastal V Yanga Mtenje alitaka kumuua Bangala kwahiyo na hizi zote ni match fixing??

Acheni ushabiki na propaganda za kipuuzi yaan mkishinda nyinyi fair wakishinda wenzenu match fixing, sajilini vizuri mpate matokeo vinginevyo mtateseka Sana
 
Sisi wengine tupo kwenye world cup sasa hivi! Hayo mengine ya ligi ya wakulima hatuyajui!
Huko worldcup pia kumetokea scandal ya Qatar kuwahonga wachezaji 8 wa Ecuador ili washinde game ya ufunguzi bao 1-0. Corruption is everywhere[emoji3][emoji3]
 
Jamal malinzi na celestin mwesigwa walikaa segerea miaka miwili.
Kaburu na evance aveva waulize.
Sep blatter je
Walikaa baada ya kumaliza muda wao, blater hakufungwa na serikali yoyote FIFA wenyewe ndo walimpiga ban,
 
Misimu iliyopita karibu yote Simba ilichukua ubingwa kwa kubebwa, magoli mengi yalikuwa ya offside na penalties za kupewa hukulalamika popote, na hata Yanga walivyokuwa Wanalalamika huku mitandaoni mliwaita Lialia FC, mara malalamiko FC, ikichunguzwa Yanga, na Simba pia ichunguzwe Ile misimu yote iliyochukua ubingwa mfululizo .
 
Ifikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Umeongea point sana mkuu, Simba haipo vizuri huo ndio ukweli huwezi ilinganisha na Ile Simba ambayo Manala alikuwa anasema inaweza kucheze hata na Barcelona. Mtu kavimbiwa maharage huko anasema timu yake inakamiwa na timu ndogo sasa kama Simba ni Bora siioneshe ubora wake pale inapokamiwa.
 
Mchezaji analia timu yake ikifungwa na simba, ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio muamala ni ninini
Kama mchezaji gani alilia? Tumia akili yanga ni bora hapa nchini kwasasa ndio maana hata ninyi simba na ukubwa wenu munapata wakati mgumu sana mbele ya yanga mnapokutana
 
Fuatilia vizuri
Nifatilie vipi sasa wakati ndo uhalisia, Kenya wamepigwa ban kwasababu ya kumfungulia kesi raisi wa shirikisho Lao mahakamani,

Jamali malinzi alivyomaliza Tu muda wake ndo alifunguliwa kesi mahakamani, Blatter wajumbe wenzie walimpinga ndo akaanza kuchunguzwa na FIFA akapigwa ban na juzijuzi tu hapa niliskia amefunguliwa
 
Unaachana na Ndemla unabakia na Erasto nyoni

Unaachana Muhilu unabakia na kibu Denis

Unaachana na Thadeo lwanga unanunua Akpan

Unauza Bwalya unanunua okwa

Acheni Utani na Mpira wa Miguu ni Mchezo Wa Wazi.
Wakamgawa mmakonde wakeleta Agustin Okra tena kwa mbwembwe za hatari.
 

Hili andiko linathibitisha kwamba Simba ni Ngada fc. Umeandika upumbafu mtupu
 
Wachezaji wetu Yanga mechi za mwanzoni walichezewa rafu sana rejea issue ya Bangala pale mkwakwani ajabu hukuleta uzi humu,
Kaeni mtulie dawa iwaingie nyamwazi nyie
 
Ngada FC aka Sembe FC nyie tulieni tu, mtalalama wee....sisi tunapeta. Mbona mwarabu tulimpiga msako ule mkali tu mpaka akalainika akaachia, iwe Singida BS, Kweli?? Lazima akili zimeharibiwa na bwimbwi.
 
Wachezaji wetu Yanga mechi za mwanzoni walichezewa rafu sana rejea issue ya Bangala pale mkwakwani ajabu hukuleta uzi humu,
Kaeni mtulie dawa iwaingie nyamwazi nyie
Mkaamua kutembeza bahasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…