balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ukiona wapi timu ya wanaume ikaongozwa na demu,Tena demu mwenyewe mchepuko.Pumbafu thana.Wenzenu wanakua busy mazoezini ninyi mnakua busy kuuza ngada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona wapi timu ya wanaume ikaongozwa na demu,Tena demu mwenyewe mchepuko.Pumbafu thana.Wenzenu wanakua busy mazoezini ninyi mnakua busy kuuza ngada
Mechi hiyohiyo Sakho nae alitaka kumuua mwenzie mbona naye hakupewa Red?? Ngao ya jamii Inonga alitaka kumuua Sure boy, Coastal V Yanga Mtenje alitaka kumuua Bangala kwahiyo na hizi zote ni match fixing??Hao walipewa kadi sababu walitaka kuwaua wachezaji wa simba
Huko worldcup pia kumetokea scandal ya Qatar kuwahonga wachezaji 8 wa Ecuador ili washinde game ya ufunguzi bao 1-0. Corruption is everywhere[emoji3][emoji3]Sisi wengine tupo kwenye world cup sasa hivi! Hayo mengine ya ligi ya wakulima hatuyajui!
Walikaa baada ya kumaliza muda wao, blater hakufungwa na serikali yoyote FIFA wenyewe ndo walimpiga ban,Jamal malinzi na celestin mwesigwa walikaa segerea miaka miwili.
Kaburu na evance aveva waulize.
Sep blatter je
Umeongea point sana mkuu, Simba haipo vizuri huo ndio ukweli huwezi ilinganisha na Ile Simba ambayo Manala alikuwa anasema inaweza kucheze hata na Barcelona. Mtu kavimbiwa maharage huko anasema timu yake inakamiwa na timu ndogo sasa kama Simba ni Bora siioneshe ubora wake pale inapokamiwa.Ifikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Kama mchezaji gani alilia? Tumia akili yanga ni bora hapa nchini kwasasa ndio maana hata ninyi simba na ukubwa wenu munapata wakati mgumu sana mbele ya yanga mnapokutanaMchezaji analia timu yake ikifungwa na simba, ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio muamala ni ninini
Nifatilie vipi sasa wakati ndo uhalisia, Kenya wamepigwa ban kwasababu ya kumfungulia kesi raisi wa shirikisho Lao mahakamani,Fuatilia vizuri
Wakamgawa mmakonde wakeleta Agustin Okra tena kwa mbwembwe za hatari.Unaachana na Ndemla unabakia na Erasto nyoni
Unaachana Muhilu unabakia na kibu Denis
Unaachana na Thadeo lwanga unanunua Akpan
Unauza Bwalya unanunua okwa
Acheni Utani na Mpira wa Miguu ni Mchezo Wa Wazi.
hivyo GSM ni tajiri mkubwa sanaUliona mchezaji wa mtibwa anasmile?
Simba ina majeruhi wengi sababu wachezaji wanaambiwa kabisa ukimvunja Sako mhamala unasoma
KabwiliWenzenu wanakua busy mazoezini ninyi mnakua busy kuuza ngada
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.
TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
SawaWanajioona wenyewe yaniii,,wanaviiiimbaaaa
Ngada FC aka Sembe FC nyie tulieni tu, mtalalama wee....sisi tunapeta. Mbona mwarabu tulimpiga msako ule mkali tu mpaka akalainika akaachia, iwe Singida BS, Kweli?? Lazima akili zimeharibiwa na bwimbwi.Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.
TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!