Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

Hii kitu inaharibu soka la nchi.
Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa foul za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa yanga anayechezewa rafu kwa dk 90.

Takukuru mmesinzia sana,mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa mhamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu
Iyo si fursa boss kama unajua yanga kila siku anashinda unaunganisha tu mkeka unapiga pesa kama iyo unbeaten yao mechi 48 ni fursa kwa watu wa kubeti
 
Sasa hvinabidi nitembee na upepo wa yanga tu kumuumiza kanji
Ndo maana betting companies zinazojielewa kama BETPAWA huwezi kuta wakaweka mechi za ligi ya bongo maana nyingi zinapangwa na hasara, ila kampuni zisizojielewa hawakomi tu😀😀
 
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.

TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Ushahidi tafadhali japo wa picha wachezaji wakilia pindi wakifungwa na Simba, na wakicheka pindi wakifungwa na Yanga. Tuanzie hapa mkuu
 
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.

TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Serikali haitakiwi kuingilia shughuli za soka
 
Unamashaka hadi na goli la Aziz Ki alilomfunga Manula?
58E31085-0E11-4855-BC42-BB28E01C93E6.jpeg
 
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.

TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Sio Simba inakamiwa,Simba mbovu inaona kama imekamiwa Kumbe ipo kiwango Cha chini,hizo timu zikikutana na Yanga zinakuwa kama zimekutana na Barcelona Ile ya Moto,zinaanzaje kushinda.Hata wakamie wanazidiwa maarifa
 
Ifikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Viongozi wakiharibu huwa wanajificha kwenye kichaka Cha timu pinzani inapendelewa.Kipindi Yanga ipo hoi bin taabani Kila siku kelele zilikuwa Simba anapendelewa
 
Inahonga marefa,viongozi wa timu pinzani na wachezaji wa timu pinzani
Mpira usha washinda mmebakiza lawama mnataka ubingwa harafu mna draw na KMC, mnafungwa na Azam basi hata muifunge Yanga mpunguze gape hamuwezi endeleeni na vituko tutakutana hapa mwisho wa msimu
 
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.

TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Wewe ni mjinga kuliko wajinga wote duniani.
 
Back
Top Bottom