Umewaza mbali sanaπBasi tutumie grease/grisi(sijui nimeandika sahihi)
Actually dokta yuko sahihi.
Maana hata kuzama chumvini ni hatari vilevile lakini
Kuna msemo mmoja unasema kila jambo lina faida na hasara tunachoangalia ni upande upi uko juu zaidi ndio utapewa kipaumbele.
Kwahiyo hapo mtapima wenyewe ni wangapi walienda hospital wakalaambiwa wewe unaumwa huko sababu kuna bakteria wengi wa mdomoni na kwenye mate.
ππππππtutatumia mafuta ya taa
Ulimi nao una mate, vipi kuhusu kupihwa deki na vijana wa hovyoMsitumie mate wakati wa tendo la ndoa
"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.
TBC FM
View attachment 2792219
kwen mm au ww?!Msitumie mate wakati wa tendo la ndoa
"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.
TBC FM
View attachment 2792219
We jamaa ni muuaji,mafuta ya nini?tutatumia mafuta ya taa
Unatak uwashe motoπππtutatumia mafuta ya taa