Mate yasitumike kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa

Msitumie mate wakati wa tendo la ndoa

"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.

TBC FM

View attachment 2792219
Huyo mwenyewe ikifika huo mda anapakwa mate bila kujijua na anatulia anabaki kutoa miguno tu.
 
Msitumie mate wakati wa tendo la ndoa

"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.

TBC FM

View attachment 2792219
Wanaelewa basi wanashindwa ata kuchemsha bamia. Kwaajiri yakuongeza kilainishi zaidi wao nikujaza mate na mafuta😂😂😂
 
Back
Top Bottom