Mate yasitumike kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa

Kuna siku niliwahi kutumia Beby care kama kilainishi dah baada ya dakika chache nikakuta mashavu ya manzi yamevimba yalikua yanachekesha sana,nikaanza kucheka na mchezo ukaishia hapo hapo ila yeye alikua anaumia[emoji16].
 
"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.
Wanapozuia jambo waseme mbadala wake badala ya kuwaacha watu hewani
 
Mbadala chemsha bamia kua unakunywa usiweke chumvi itakusaidia sana🤣🤣🤣wanekugusa nini unamwambiaga paka 🧉 mate
 
Msitumie mate wakati wa tendo la ndoa

"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.

TBC FM

View attachment 2792219
ANaelewa kuw sasa kuna janga la ukame?
 
Back
Top Bottom