Mate yasitumike kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa

Mate yasitumike kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa

Kuna saa mate lazima,unakutana na limamsi liko dry halafu na wewe una ukame!
Sipatii picha Hilo kohozi utakavolitafutia
 
"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.
Kwanini visitafutiwe dawa kuliko kukwamisha zoezi kwaajili ya vyenyewe
 
Back
Top Bottom