Basi naishia hapaNimetembe a tn ukute jua kali unahisi moto unawaka kwa mbali🤣
Kwannhawa ma dr. wa shule za kayumba ni shida tupu.
Wamevuruga chamaMbadala chemsha bamia kua unakunywa usiweke chumvi itakusaidia sana🤣🤣🤣wanekugusa nini unamwambiaga paka 🧉 mate
Nakua Sina hisia nae tuKuna watu wanapump mpaka unakauka wote
Unakuwepo naam ila ins n outs zinakausha kutokana na rise in tempsNajua Sina hisia nae tu
Km mtu una hisia nae tu ,ht kabla hakugusa uko ......kitambo
Kwanini visitafutiwe dawa kuliko kukwamisha zoezi kwaajili ya vyenyewe"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto nyingine". Dkt. Baya Kissiwa, Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kutoka hospitali ya Amana, Dar es Salaam.