GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
DAB'Matege ndani' ndio nani?
heheHakuondolewa na coast mafias, aliondolewa na wanaocontrol mineral resources duniani kwa kuitikisa Barrick
Yaani Daudi Albert Bashite asijifanye kichwa ngumu hao Msoga gang(the GSM) na "wazuri hawafi" wakimuamulia atarudishwa Kolomije ndani ya mkebe wa mbao.Halafu acha Kuwaamini hao Waandamizi wako Watatu wa Idarani na Mmoja ni Mstaafu kwani Wanakuponza utaumia.