Mateka aisifu Hamas

Mateka aisifu Hamas

Sawa amesema ukweli na kwa sababu wazungu hawapindishi maneno wameripoti hivyo hivyo; ila ukweli unababaki pale pale kuwa HAMAS wanatimiza Agenda ya Uislam ambayo Iko kwenye charter yao ya 1988 inayonukuliwa Toka Sahih Muslim Hadith 2922 kuwa ule mwisho haitokei mpaka Waislam wameua kila Myahudi. Na pia charter hiyo hiyo inasema Uislam utatawala Dunia.
Israel inaua wapalestina waislamu na wakiristu.
 
Hizo porojo na chuki zako tu.

Huelewi kuwa sheria zote za kimataifa za mateka wa kivita kupewa haki zao, sheria za kutokuuwa wanawake, watoto na wazeee vitani zilianzishwa na Uislam. Soma Uislam upate faida.

Kuna mwanamke mwandishi wa habari maarufu sana Uingereza anaitwa Yvonne Ridley, alienda kuandika vita vya Afghanistan kwa bahati nzuri akatekwa na Taliban, alivyoachiwa akasilimu. Unaelewa kwanini? Msikilize mwenyewe:

View: https://youtu.be/nFqtZd0y_0g?si=uykOWd8egquo2Oum

Uislam ni mwema sana.

Huyu alikuja mpaka Tanzania akaongea kisa chake hicho Starlight na MUM.

Wewe unangoja nini?

Wenye chuki ni hao hamas waliofanya ugaidi na ukatili kama wanyama huku wakijiapiza kwa jina la Allah.
Halafu mnasema uislam ni mwema sana😆😆
 
Israel inaua wapalestina waislamu na wakiristu.
Kama Kuna mkiristo anauawa maskini anakuwa ameuawa kwa bahati mbaya. Wao hawana Agenda za kiislam za kupambana na kuwaua wayahudi. Wenye chuki hiyo ni HAMAS. na kwa sababu agenda hiyo ni pana wakimalizana na Wayahudi watakuja kwa Wakiristo, wahindu na hata wachina hawako salama
F8YRDZAWYAEw3h9.jpeg
 
Wenye chuki ni hao hamas waliofanya ugaidi na ukatili kama wanyama huku wakijiapiza kwa jina la Allah.
Halafu mnasema uislam ni mwema sana😆😆
Toa ushaidi mateka alibakwa au kuuliwa na Hamas. Mmetumia nguvu nyingi sana kukaririsha watu kuwa Hamas ni watu wa ovyo kwa stori nyingi zisizokuwa na ushaidi. Sasa angalia m/mungu jinsi anavyotisha. Mnawasafisha Hamasi wenyewe bila shuruti
Hizo porojo na chuki zako tu.

Huelewi kuwa sheria zote za kimataifa za mateka wa kivita kupewa haki zao, sheria za kutokuuwa wanawake, watoto na wazeee vitani zilianzishwa na Uislam. Soma Uislam upate faida.

Kuna mwanamke mwandishi wa habari maarufu sana Uingereza anaitwa Yvonne Ridley, alienda kuandika vita vya Afghanistan kwa bahati nzuri akatekwa na Taliban, alivyoachiwa akasilimu. Unaelewa kwanini? Msikilize mwenyewe:

View: https://youtu.be/nFqtZd0y_0g?si=uykOWd8egquo2Oum

Uislam ni mwema sana.

Huyu alikuja mpaka Tanzania akaongea kisa chake hicho Starlight na MUM.

Wewe unangoja nini?

Mzee Kigogo Hawa Waislam Uongo uko kwenye damu yao na hatushangai kwani Quran ktk Sura 15:39 Allah ndiye alikuwa wa kwanza kumdanganya Ibilisi na ndipo Ibilisi akaapa ku deal na wanadamu. Kidini Cha machafuko haya yanayoletwa na Hamas ni mafundisho ya kiislam. Hamas Charter 1988 Article 7 inanukuu Sahih Muslim Hadith 2922 kwamba ua wayahudi wote KABLA kiama hakijaja
Hapa chini nakurushia pictures ujionee mwenyewe
F8v-0GPWsAAUJ2H.jpeg
F9DU5wmXgAA41NI.png
F8v-0GPWsAAUJ2H.jpeg
 
Attachments

  • F8YRDZAWYAEw3h9.jpeg
    F8YRDZAWYAEw3h9.jpeg
    145.9 KB · Views: 1
  • F8EctIkbsAAvAAM.jpeg
    F8EctIkbsAAvAAM.jpeg
    86.6 KB · Views: 1
  • F8zwZfeaYAATkBG.jpeg
    F8zwZfeaYAATkBG.jpeg
    64.5 KB · Views: 1
Hao jamaa hamas, walimfyatulia binti risasi mpaka wamehakikisha atakua amekufa ila binti kumbe yuko hai bado.
Sasa ufanye uvamizi uue zaidi ya watu 1400 leo urudishe wawili useme wao ni wema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Acheni ucheshi mnaocomment jamani.
Nimeshangaa sana.

Yaani kuna watu humu utafikiri hawana vichwa kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumteka kikongwe kama huyo tu ni ugaidi na ndio tushuhudie wale wanaosema vikundi kama Hamas ni vikundi vya kigaidi sio waongo.

Na huyo kikongwe kwenye mahojiano alisema wakati wa kutekwa alipewa kipigo pamoja na kuporwa mkufu wake na watekaji taarifa ambayo mleta mada kwa sababu za kiimani hajaongelea kabisa.

Kama wewe kweli ni muungwana na mwenye kumuogopa Mungu kiukweli bila unafiki huwezi kabisa kufanya vitendo vya kigaidi kama kuteka watu sanasana unatakiwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zako kwa maombi zaidi.
Kuna mama mmoja wa kiyahudi Hamas waliingia katika nyumba yake, huyu mama akawaambia nina watoto wawili, wale Hamas wakamuambia usijali, sisi ni waislamu hatutokudhuru, huyu mama akashangaa sana akiwa na wasi wasi, wale Hamas wakaketi nae na watoto wake kwenye dining room.

Kulikuwa na askari mmoja mwenye silaha akiwalinda wengine wakizunguka ndani kufanya ukaguzi.

Mwanamke huyo wa kiyahudi anaendelea kusema pale mezani kulikuwa na ndizi, yule mpiganaji mmoja akamuomba yule mama, "naweza kula ndizi moja?", Huyu mama akamjibu ndio.

Anasema walikaa hapo kwa masaa mawili na baadae wakaondoka na wakafunga mlango.

NB: Sizungumzii udini, na nimeandika taarifa kama huyo mama alivyosema.

Hawa Hamas ukisikiliza shuhuda za walio wengi, medias kuna vitu hawasemi lakini kiukweli sidhani kama hawa jamaa wana ugaidi kama inavyodaiwa, na hata kama wanafanya matukio hayo ni kwa sababu kuna jambo ambalo wanafanyiwa na wao wanalipiza.

Lakini pia ni nguvu ya media tu waliyonayo West, lakini gaidi wa kwanza duniani ni US mwenyewe, i can say that.

Tazama hii video.

View: https://www.youtube.com/watch?v=rD7NI0tGbp8
 
Mzee Kigogo Hawa Waislam Uongo uko kwenye damu yao na hatushangai kwani Quran ktk Sura 15:39 Allah ndiye alikuwa wa kwanza kumdanganya Ibilisi na ndipo Ibilisi akaapa ku deal na wanadamu. Kidini Cha machafuko haya yanayoletwa na Hamas ni mafundisho ya kiislam. Hamas Charter 1988 Article 7 inanukuu Sahih Muslim Hadith 2922 kwamba ua wayahudi wote KABLA kiama hakijaja
Hapa chini nakurushia pictures ujionee mwenyewe
View attachment 2791811View attachment 2791812View attachment 2791811
Hio picha ya huyo mzee na huyo mke wake, mbona chini imeandikwa photo is AI generated? unaelewa maana yake?
 
Uislam bwana basi tu chuki za watu.ila ni dini moja safi sana mafundisho yake.
 
Jumatatu usiku, tawi la kijeshi la Hamas la Brigedi za Al Qassam lilitangaza kuwa limewaachilia huru mateka wawili wa Israel - Yocheved Lifshitz na Nurit Cooper mwenye umri wa 79 - kwa "sababu za ubinadamu."
Pumbavu kabisa, wakati wanawateka hawakuziona hizo sababu za kibinadamu?
 
Waendelee kuzichapa mpaka kieleweke mshindi achukue ardhi yote hzi propaganda hazina tija kwetu na kwao
 
Aisee Wayahudi wamemmaindi kichizi huyo mama.

Nimetembelea Website ya Waisrael wanalaumu kuwa kwa nini Serikali haikumanage situation kabla huyo mama hajaongea na vyombo vya habari.
mtando huu hapa: Why did Israel allow a public diplomacy disaster?

Hata Sky news wamenukuu maneno ya huyo mama , wamendika hivi

View attachment 2791685

kwahiyo watu wa taifa teule wamemaindi kusikia bibi katendewa wema?

Waafrika tulidanganywa vingi sana eti taifa teule[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumteka kikongwe kama huyo tu ni ugaidi na ndio tushuhudie wale wanaosema vikundi kama Hamas ni vikundi vya kigaidi sio waongo.

Na huyo kikongwe kwenye mahojiano alisema wakati wa kutekwa alipewa kipigo pamoja na kuporwa mkufu wake na watekaji taarifa ambayo mleta mada kwa sababu za kiimani hajaongelea kabisa.

Kama wewe kweli ni muungwana na mwenye kumuogopa Mungu kiukweli bila unafiki huwezi kabisa kufanya vitendo vya kigaidi kama kuteka watu sanasana unatakiwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zako kwa maombi zaidi.
Kingongwe cha 89 kipigwe halafu hata mchubuko hana? Aongee kwa furaha? Bibi yako wa miaka 70 tu akiona simba huko kwenu huzimia
 
Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Yocheved Lifshitz, ajuza wa miaka 85, amesema Hamas ilimpatia daktari wa kushughulikia afya yake na kufanya kila njia kuhakikisha anapata dawa zake.

Ameongeza kuwa wapiganaji wa Hamas walishughulikia pia mahitaji yake. Bi Lifshitz amesema: "tulikula mkate, jibini nyeupe na matango, kama wao."

Bi Kizee huyo Muisrael ameendelea kusimulia alivyokirimiwa na wanamuqawama wa Palestina akisema: "walituambia wanaiamini Qur'ani na kwa hivyo hawatatudhuru".

Alipoulizwa kwa nini alipeana mkono na mmoja wa wanachama wa Hamas wakati wa kuachiliwa kwake, Bi Lifshitz alisema kwa sababu "walliamiliana nasi kwa wema na walishughulikia mahitaji yetu yote."

Jumatatu usiku, tawi la kijeshi la Hamas la Brigedi za Al Qassam lilitangaza kuwa limewaachilia huru mateka wawili wa Israel - Yocheved Lifshitz na Nurit Cooper mwenye umri wa 79 - kwa "sababu za ubinadamu."
hiyo inafutaj mauaji yao waliyoyafanya ? unahisi wmagemtesaj kwa kipigo hiki , hao mateka ndo walikuwa hauweni yao lzm wawakirimu , wangekuwa wema wasingeua watu kule disco vumbi
 
Back
Top Bottom